Mleta Mada na yeye hana uelewa wa jambo hili au tamaa ya nyumba na gari ndio vimemfumba macho,
Surrogate Mother hua haingiliani kimwili na hao wahusika, bali yeye hutoa tumbo lake kubebea kiumbe cha watu walioshindwa kubeba mimba kwa sababu mbali mbali za kiafya, mimba hutungishwa maabara kisha hupandikizwa kwa huyo surrogate na hiyo hufanyika kwa makubaliano maalumu,
Mfano mzuri ni Kim Kardashian na mumewe Kanye West walifanya hii kitu lakini pia mimi mwenyewe nitaifanya mwaka 2025 in shaa Allah, as babymama kakubali kutoa tumbo lake, huureeeeeh!🥳
Kuna faida nzuri kama wewe huna complications za uzazi ukasaidia wengine kuwapa hitaji la Moyo wao, utabarikiwa sana na hii isiishie India tu hata Africa ni muda wetu sasa kuamka na kuproduce more children kupitia njia hii as IVF imekua changamoto sana kwa wengine.