Rafiki yangu anatafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo

Rafiki yangu anatafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo

Ezra cypher

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
244
Reaction score
904
Rafiki yangu anatafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo.

Umri 18-34
Elimu, yoyote ilimradi awe anajua kusoma na kuandika lugha ya kiswahili vizuri , maana huyu jamaa ana Biashara fulani kubwa na moja ya majukumu ya huyo mke atakuwa anasimamia baadhi ya Biashara zake na kutuma taarifa.


Dini - kuhusu dini yoyote ilimradi awe anatambua uwepo wa Mungu katika Maisha yake na kushiriki ibada za pamoja au peke yake.

Mwonekano :- awe na mwonekano Fulani mzuri akiwa mrefu , mweupe au rangi ya chocolates itapendeza .

Kuhusu kuwa na mtoto /watoto hilo sio tatizo.

Sifa za muhusika

Matured man 35
Hali ya uchumi -Financial stable
Kazi- Ameajiriwa katika moja ya shirika kubwa la chakula yupo UN
Pia anafanya na Biashara.

Elimu yake PhD

Dada /mama Kama upo interested utanicheki PM nikupe barua pepe yake muasiliane .


Update

Nimefanikiwa kufanya mazungumzo ya awali.

Niseme hili jambo naamini RAFIKI yangu atafanikiwa na JF itabaki kuwa mtandao namba Moja Tanzania wenye kuwaleta watu pamoja .

Stay greatful.
 
Hiv mnaotafuta dini yoyote Huwa mnaujasiri wa namna ipi,mbona ni suala gumu sana mkifika hatua ya kufunga ndoa Yani Huwa ni kasheshe sana au mm tu uwezo wangu wa kufikiri
 
Uwezo wa kufikiri tu

Dunia imeshahama huko , ndoa inafungwa vizuri tu
Sawa kma ni hivo but Kuna familia ni ngumu kukubaliana na Hilo suala
Naongea kwa experience ni rahis wapenz mnapokubaliana mkiwa wawili mmekumbatiana Sasa nendeni huko mbele ndo tatizo maswali Huwa mengi sana
 
IMG_4423.jpeg
 
Back
Top Bottom