Rafiki yangu anatafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo

Umri umri πŸ˜‚πŸ˜‚ umeninyima mume
 
Yuko wapi huyo rafiki ako
 
Mambo ya kiroho mkuu bado haujayaelewa vizuri .

Ukiwa enlightenment you will understand ulimwemgu wa roho .

Kwa sasa Bado hautaweza kuelewa Ila kinachoendesha ulimwengu wa roho ulimwengu wa roho ni maneno /neno na sio dini
Nifundishe nijue huenda nikaongeza maarifa
 
Nifundishe nijue huenda nikaongeza maarifa
Japo najaribu kumuelewa Kwa namna fulani huyo jamaa.

Ila katika ulimwengu wa roho -ni kweli nguvu kubwa imebebwa katika maneno au neno. Hivyo ukipata muislam na wewe mkiristu msisite kuoana maana nyie wenyewe mnaweza Kufunga ndoa yenu kupitia vinywa vyenu na mkaishi vizuri tu.

Neno linaweza kuumba kitu kikatokea katika ulimwengu wa nyama .

Dini inasaidia Sana Ila unaweza kuwa MTU wa dini Ila ukashindwa kuamka kiroho .

Hivyo swala la kuoa /kuolewa n.k dini Ina nafasi Ila ilibidi kuwa sio kigezo kikuu maana hakina faida yoyote.

Kuwa spiritual person ni muhimu Sana Ila watu wengi ni watu wa dini Ila sio watu wa kiroho .
 
Hayo maneno yanakuwaje mnatamka tu au
 
Hayo maneno yanakuwaje mnatamka tu au


Proverb 18:20 (Mithali 18 :20)

The scripture says, β€œYou will eat the fruit of your words.” Pay attention to what you're saying about yourself, your family, your finances ...


Kwahiyo kinachotawala in spiritual realm is words and not religions.

The Top Bible Verses about Fruit in Scripture

Nimeshare hii kwakuwa nimeona unachelewa kuelewa.
 
Nikiishaga uno mtu anasema dini yoyote najua hamna kuoana hapo zaidi ya uzinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…