Rafiki yangu anataka kuahirisha kuoa Baada ya kutumiwa video ya ngono ya mke wake mtarajiwa!

Hapo ndio lakufanya....hamna kusitisha wala nini kila kitu kinaendelea last day wee huyoooo unaenda zako mamtoni.
Wakwe unawatumia video wajionee wenyewe walivyokuza mtoto wao
Na hawezi kuolewa na yeyote tena maishani mwake, unakuwa umemroga kisomi.
 
Labda anataka nayeye ajifunze sio kuparamia tu utazani ana angua limao na ndimu
 
Huu uzi ni marudio tu.

Hauna ukweli wowote.

Umesha chapishwa sana hapa JF kutafuta attention za watu tu.
 
Hii haitaji hata ushauri wa mtu yeye ndio mwenye uamuzi hakuna ndoa hapo...adai gharama zake zote awaachie zigo lao
 
Pesa makaratasi,hasara roho,ampige chini tu hakuna mke hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…