INAUZWA Rafiki yangu anauza gari GX 110 no C

Kuna gari ngumu sana kuuzika mojawapo hiyo pia Mark X na Brevis. Nilikuwa na Mark X namba DG imesimama niliishia kuiuza milioni 4 tena jamaa alikuwa ananilipa kwa mafungu hata hela yenyewe sikuifaidi
Watu wanapenda ist na vits[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna gari ngumu sana kuuzika mojawapo hiyo pia Mark X na Brevis. Nilikuwa na Mark X namba DG imesimama niliishia kuiuza milioni 4 tena jamaa alikuwa ananilipa kwa mafungu hata hela yenyewe sikuifaidi
Kwa nini mark X ngumu kuuzika mkuu
 
Kuna gari ngumu sana kuuzika mojawapo hiyo pia Mark X na Brevis. Nilikuwa na Mark X namba DG imesimama niliishia kuiuza milioni 4 tena jamaa alikuwa ananilipa kwa mafungu hata hela yenyewe sikuifaidi
Ila hii gx ni ile ya cc 1900 ndio wengi wanazipenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini ngumu Kuuzika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni mentality ya watu. Wanaamini kuwa hizo gari zinakula mafuta sana zikiwa nzima na kama ukiendesha kwa muda mrefu inachoka na kula mafuta Zaidi so wanaamini ukitangaza kuiuza ina maana imekushinda kutokana na ulaji wa mafuta mkubwa na unataka kuuza ili ukwepe hiyo dhahama. Jambo ambalo sio kweli
 
Ulilost mazee.
Kuna gari ngumu sana kuuzika mojawapo hiyo pia Mark X na Brevis. Nilikuwa na Mark X namba DG imesimama niliishia kuiuza milioni 4 tena jamaa alikuwa ananilipa kwa mafungu hata hela yenyewe sikuifaidi
 
Ogopa sana kutumia mafuta mengi alafu gari sio ya maana bora kulipuka ulipuketu na lexux 360
 
Kuna gari ngumu sana kuuzika mojawapo hiyo pia Mark X na Brevis. Nilikuwa na Mark X namba DG imesimama niliishia kuiuza milioni 4 tena jamaa alikuwa ananilipa kwa mafungu hata hela yenyewe sikuifaidi

Ni kweli aisee, jamaa alijikuta anauza m3 gx 110
 
Ni kweli zinatumia mafuta ambayo waTanzania wengi wa kipato cha chini hawawezi,lakini pia kitu kama Brevis zina magonjwa ya ghafla tu hata kama gari ni mpya,inaweza tu hata kupasua Radiator bila hata sababu,hiyo kitu ni kimeo kuliko maelezo
Eti wanasema zinaounywa mafuta sasa sijui wakitaka zinywe maji

Sent using Jamii Forums mobile app

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Njoo nayo chalinze, ikifika nakukabidhi 3.5m na ukimbie usigeukenyuma maana nitakuwa nishaijaza nazi kuelekea gulioni.

Utanikabidhi ikiwa fill tank

Sent using Kirikuu
 
Nadhani ni mentality ya watu. Wanaamini kuwa hizo gari zinakula mafuta sana zikiwa nzima na kama ukiendesha kwa muda mrefu inachoka na kula mafuta Zaidi so wanaamini ukitangaza kuiuza ina maana imekushinda kutokana na ulaji wa mafuta mkubwa na unataka kuuza ili ukwepe hiyo dhahama. Jambo ambalo sio kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]watu wanaogopa kutupiwa dhahama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu,mwenye nayo wala siyo mgonjwa,sema wewe hapo umesimama kama mtu wa katikati yaani dalali.
Mkuu,amini kwamba wanaoleta ugumu wa biashara hizi za magari ni watu wa kati wala sio wauzaji.
Hivi kweli kabisa gari namba CCS unatangaza kwa 5.8M!!!?
Na hii corona yote hii??
umeweka tamaa sana mwisho unamtesa mwenye gari kwa kukosa wateja.

Ukifika 4M njoo PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom