INAUZWA Rafiki yangu anauza gari GX 110 no C

INAUZWA Rafiki yangu anauza gari GX 110 no C

Hizi gari mkuu ni gharama kuziendesha kwa sehemu kama Tanzania, sio kuiendesha kutoka sehemu moja kwenda nyingibe la hasha uendeshaji wake kama mafuta as you've said, spare zake n.k ni gharama mno.

Unaweza ukastaajabu ya Musa kitu kama hii imenyooka hivi na isiwe hata na tatizo sana, interior kali, body halijapigwa rangi kila kitu kiko on point kwa hii bei ila mtu akaenda kununua tako la nyani kwa 10 million! Anajua hapotezi ataitumia kwa muda mrefu na itauzika chap akitaka
Tako la nyani kwa m 10!?
 
Back
Top Bottom