funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Dada Dalali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada Dalali
Usikariri maisha ndugu...mm sio dalali nasijalazimisha mtu kununua ...gari ni ya rafik angu yupo moro anaumwa na hayupo humu....nidalalie iyo hela ndogo inisaidie nn usikariri maisha mkuu....wewe ukiwa na hela piga simu upelekwe kwa mwenyewe ....ningekua na shida na hela ya udalali ningepandisha bei yakwangumkuu,mwenye nayo wala siyo mgonjwa,sema wewe hapo umesimama kama mtu wa katikati yaani dalali.
Mkuu,amini kwamba wanaoleta ugumu wa biashara hizi za magari ni watu wa kati wala sio wauzaji.
Hivi kweli kabisa gari namba CCS unatangaza kwa 5.8M!!!?
Na hii corona yote hii??
umeweka tamaa sana mwisho unamtesa mwenye gari kwa kukosa wateja.
Ukifika 4M njoo PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm sio dalali hii gari ya rafik angu kabisa.. wote huwa tuna magari yamefanana na wote tumeamua kuyauza tubadirisheDada Dalali
Okay yana shida sana hayo kuyauza utaona mwenyewe na kujifunza pia kuwa ukinunua gari fikiria na siku ya kuliuza itakuwajeMm sio dalali hii gari ya rafik angu kabisa.. wote huwa tuna magari yamefanana na wote tumeamua kuyauza tubadirishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachosema ni kweli ya kwangu nmeanza kuiuza tangu mwezi wa 12 hadi madalali hawataki kujishughulisha nayo...sema ya uyu rafik angu ataiuza sababu yakeni cc1900 yangu pengine inasumbua sababu ni cc2500Okay yana shida sana hayo kuyauza utaona mwenyewe na kujifunza pia kuwa ukinunua gari fikiria na siku ya kuliuza itakuwaje
Ngumu kuiuza kwa hiyo bei. Trust meUnachosema ni kweli ya kwangu nmeanza kuiuza tangu mwezi wa 12 hadi madalali hawataki kujishughulisha nayo...sema ya uyu rafik angu ataiuza sababu yakeni cc1900 yangu pengine inasumbua sababu ni cc2500
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi gari mkuu ni gharama kuziendesha kwa sehemu kama Tanzania, sio kuiendesha kutoka sehemu moja kwenda nyingibe la hasha uendeshaji wake kama mafuta as you've said, spare zake n.k ni gharama mno.Nadhani ni mentality ya watu. Wanaamini kuwa hizo gari zinakula mafuta sana zikiwa nzima na kama ukiendesha kwa muda mrefu inachoka na kula mafuta Zaidi so wanaamini ukitangaza kuiuza ina maana imekushinda kutokana na ulaji wa mafuta mkubwa na unataka kuuza ili ukwepe hiyo dhahama. Jambo ambalo sio kweli
Kuna mtu kapata pensheni mwaka jana ngoja tumuingize kingiUnachosema ni kweli ya kwangu nmeanza kuiuza tangu mwezi wa 12 hadi madalali hawataki kujishughulisha nayo...sema ya uyu rafik angu ataiuza sababu yakeni cc1900 yangu pengine inasumbua sababu ni cc2500
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vp 4.2 Chukua
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenifanya nicheke ujue..Kuna mtu kapata pensheni mwaka jana ngoja tumuingize kingi
Ungw'ise ghamakaza?Nalimhola, Ng'wagoko !
Usiogope cc mkuu,kama ina cc kubwa jitahidi kuongeza kipato.....magari yenye cc kubwa yametengenezwa kwa watu maalumu na si kila mtu anatakiwa kulimiliki.Unachosema ni kweli ya kwangu nmeanza kuiuza tangu mwezi wa 12 hadi madalali hawataki kujishughulisha nayo...sema ya uyu rafik angu ataiuza sababu yakeni cc1900 yangu pengine inasumbua sababu ni cc2500
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan ungejua kimeo kilichotumika kupigia simu ungecheka sema tu gari nayo nzuri ila simu nliyotumia ni itel ya elf sitini