INAUZWA Rafiki yangu anauza gari GX 110 no C

Usikariri maisha ndugu...mm sio dalali nasijalazimisha mtu kununua ...gari ni ya rafik angu yupo moro anaumwa na hayupo humu....nidalalie iyo hela ndogo inisaidie nn usikariri maisha mkuu....wewe ukiwa na hela piga simu upelekwe kwa mwenyewe ....ningekua na shida na hela ya udalali ningepandisha bei yakwangu

Gx 110 inauzwa, nimeishusha bei 5.5M - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay yana shida sana hayo kuyauza utaona mwenyewe na kujifunza pia kuwa ukinunua gari fikiria na siku ya kuliuza itakuwaje
Unachosema ni kweli ya kwangu nmeanza kuiuza tangu mwezi wa 12 hadi madalali hawataki kujishughulisha nayo...sema ya uyu rafik angu ataiuza sababu yakeni cc1900 yangu pengine inasumbua sababu ni cc2500

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi gari mkuu ni gharama kuziendesha kwa sehemu kama Tanzania, sio kuiendesha kutoka sehemu moja kwenda nyingibe la hasha uendeshaji wake kama mafuta as you've said, spare zake n.k ni gharama mno.

Unaweza ukastaajabu ya Musa kitu kama hii imenyooka hivi na isiwe hata na tatizo sana, interior kali, body halijapigwa rangi kila kitu kiko on point kwa hii bei ila mtu akaenda kununua tako la nyani kwa 10 million! Anajua hapotezi ataitumia kwa muda mrefu na itauzika chap akitaka
 
Unachosema ni kweli ya kwangu nmeanza kuiuza tangu mwezi wa 12 hadi madalali hawataki kujishughulisha nayo...sema ya uyu rafik angu ataiuza sababu yakeni cc1900 yangu pengine inasumbua sababu ni cc2500

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu kapata pensheni mwaka jana ngoja tumuingize kingi
 
Unachosema ni kweli ya kwangu nmeanza kuiuza tangu mwezi wa 12 hadi madalali hawataki kujishughulisha nayo...sema ya uyu rafik angu ataiuza sababu yakeni cc1900 yangu pengine inasumbua sababu ni cc2500

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiogope cc mkuu,kama ina cc kubwa jitahidi kuongeza kipato.....magari yenye cc kubwa yametengenezwa kwa watu maalumu na si kila mtu anatakiwa kulimiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…