Rafiki yangu anayependa wanawake hatimaye apata Gono

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Siku za nyuma niliwahi kuleta uzi juu ya rafiki yangu ambaye tuna-share baadhi ya idea kuhusu kazi na maisha, nilimuelezea vya kutosha kuwa yeye na nyapu ni sawa na fisi na mifupa. Hata apite wa gharama gani, ni yuko tayari kuuza hata roho ili aonje tu hata kwa nusu dakika, kwake inatosha kabisa, na si kuacha mbususu iondoke hivi hivi akiwa anaiona

Jana asubuhi kanipigia simu akidai anapokojoa, anahisi maumivu sawa na dagaa wa Mwanza watangulizwe mikia wakiwa wanatoka kibofuni kuelekea nje ya mwili. Anadai pia wakati mkojo unakata, unafuatiwa na manii. Nilimshauri apige Azuma, lakini anakwambia hali bado iko vile vile

Nimetoka kumshauri aelekee duka la madawa ama hospitali kwa maelekezo zaidi, anadai mimi ni kama ndugu yake, hivyo kwa pamoja tuongozane kuelekea kwa hospital nikamsaidie kwa kuwa yeye anaona sijui aibu sijui woga, akidai kwamba ni mara yake ya kwanza kukumbana na huyu venom

Sijui ananichukuliaje! Mambo ya kuongozana kwa hospital yaliishia enzi zile mke wangu alipokuwa anahudhuria kliniki, tena ni kwa mimba ya kwanza tu. Eti leo niongozane na mwamba, eti tunaenda kupambana na ghono alilolipata wakati ana njunga njunga kwa raha zake, muda huo akisukumia ukuni kwa hasira kali, sijui ananionaje huyu umbwa. Duniani kuna vituko asikwambie mtu

Ni hayo tu. Mola anisaidie ingawa bado sija experience kitu cha namna hii, na sitegemei kwa kuwa mimi sio mroho wa nyapu
 
Hii hali ikitokea, ni muhimu sana mtu aende hospitali, apimwe vizuri na wataalamu, ikibidi apate hata kipimo cha "culture and sensitivity", apewe dozi inayotakiwa na aimalize.

Hizi habari za kujinywea madawa tu bila kufuata vipimo, ushauri wala dozi, inachokuja kufanya, ni kuvikomaza hivyo vijidudu tu kiasi kwamba vinakuwa havisikii dawa (antibacterial resistance).

Mnazidisha tatizo tu. Mantengeneza gono sugu zaidi.
 
Pole Mwaya utapata mpaka la kwenye ulimi ndio akili ikukae sawa
Maisha yangu yote, mimi na wanawake ni paka na panya, tangia mke wangu aniletee mazongombingo, nowdays nina wanawake wa bandia ndani kwangu, kuna Mrs B29, kuna Mrs U&Me kwa dirisha, kuna Mrs Udelele kwa mudomo, pia wasaidizi wao kama akina @ utamukunoga na @ mkunajimpemba kule X

Yaani hata umbile la mbususu nishagasahau kitaambo
 
Huwezi kusahau umbile lake ikiwa ulishaoa ukawa unaiona daily sio rahisi kuisahau mkuu
 
Hii hali ikitokea, ni muhimu sana mtu aende hospitali, apimwe vizuri na wataalamu, ikibidi apate hata kipimo cha "culture and sensitivity", apewe dozi inayotakiwa na aimalize.

Hizi habari za kujinywea madawa tu bila kufuata vipimo, ushauri wala dozi, inachokuja kufanya, ni kuvikomaza hivyo vijidudu tu kiasi kwamba vinakuwa havisikii dawa (antibacterial resisteance).

Mnazidisha tatizo tu. Mantengeneza gono sugu zaidi.

Mkuu uko sahihi 👇🏻

View: https://www.facebook.com/100067999927530/posts/pfbid02BoQJtsBtFuGuPqNcb6Z4qsKZwhRRkPNBXxyy65e946UKXhhF8Eh272m3GrmpCxL2l/?app=fbl
 
Maisha yangu yote, mimi na wanawake ni paka na panya, tangia mke wangu aniletee mazongombingo, nowdays nina wanawake wa bandia ndani kwangu, kuna Mrs B29, kuna Mrs U&Me kwa dirisha, kuna Mrs Udelele kwa mudomo, pia wasaidizi wao kama akina @ utamukunoga na @ mkunajimpemba kule X

Yaani hata umbile la mbususu nishagasahau kitaambo
Utaua propeller kwa product hizo unazotumia, ukija kupata mke mwingine kwishnei
 
Hii hali ikitokea, ni muhimu sana mtu aende hospitali, apimwe vizuri na wataalamu, ikibidi apate hata kipimo cha "culture and sensitivity", apewe dozi inayotakiwa na aimalize.

Hizi habari za kujinywea madawa tu bila kufuata vipimo, ushauri wala dozi, inachokuja kufanya, ni kuvikomaza hivyo vijidudu tu kiasi kwamba vinakuwa havisikii dawa (antibacterial resisteance).

Mnazidisha tatizo tu. Mantengeneza gono sugu zaidi.
Ndo anataka tuongozane, kwa kuwa yeye anahisi hawezi kusimama mbele ya manesi akiwa mwenyewe. Kuna muda alidai niende Pharmacy nikajisingizie kuwa mimi ndo naumwa ili nipatiwe dozi

Anadhani kubeba msalaba wa gono ni rahisi kiivyo, subiri likianza kuvunja kichwa cha uume ndo atajua mlango wa Mhimbili uko wapi
 
Back
Top Bottom