Rafiki yangu kambambikia mumewe watoto

Wanaume....safari bado ndefuu😲,kweli kaz mnayo duh!
 
Wanawake wana olewa kwa sababu ya shida[emoji848]
Umeandika ukweli Mkuu.
Na wanakubali kuolewa hasa umri unapowabana like 27-35 nakuendelea.

Ambapo uzuri wao unapungua kila uchao, wanatumia gharama kubwa kwenye make up ili kushindana na vibinti vya early 20s, ukichanganya na mahitaji mengine anaona afadhali amgande mwanaume mwenye uwezo wa pesa hata kama hamvutii kihisia.

Hii inamfanya mwanamke aee na mahusiano kwa aina mbili za wanaume.
Kuna wa kumgharamia kiuchumi na kuna wa kumshusha nyege, ndio maana michepuko kwa wanandoa itaendelea kuwepo sana.
 
Mwambie hivii...

Jehanam atakuwa kuniii...
 
Bora amwambie ukweli afu watengane na kila mtu achukue wanae.Ndoa za sikuhiz ni shida sana.Tunaoana tu lakini upendo hakuna.Tuhamasishe wanetu ndoa siyo kilakitu katika maisha
 
Rafiki wa nyoko. Njiwa hawezi kuambatana na kunguru hata kwa bahati mbaya. Wewe na best yako wote kunguru tu mbwa nyie.
 
Hujamtendea haki Kichwa cha familia, mfano wa Mungu.

Kuhusu kuwa ni rafiki yako, sidanganyiki.
 
Ni pm namba ya mme wake,nimshtue mwanaume mwenzangu...
Au ya rafikio huyo nimkanye.
 
Hata sina huruma nao tena siku hizi. Watendwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…