HahahahaaaaaaaMimi nilishamwambia wife ikiwa nimembamba na mchepuko iwe kwa njia ya SMS, Fb au popote pale muda huohuo ndio mwisho wa ndoa yetu, simpigi. Wife ananiogopa kama ukoma. Huyo sasa ana mawazo ya nini huku mke kakimbia ndoa yeye mwenyewe?
Kwamba alifumuliwa linda?Inanikumbusha jamaa aliweka mtego katika purukushani za hapa na pale akachelewa kufumania akakuta tayari ameshaliwa mke wake chumba chote kinanuka mavi [emoji23][emoji23]
Usiombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaaaaaa
Woga ni hisia ngumu sana kuigiza eti??
Duuuuh, AaaaaayeInanikumbusha jamaa aliweka mtego katika purukushani za hapa na pale akachelewa kufumania akakuta tayari ameshaliwa mke wake chumba chote kinanuka mavi [emoji23][emoji23]
Usiombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu thereβs exception to every rule!!dont you think??π€π€Gwiji wa sirisiri wa experience ya mahusiano,,
Hujawahi rahisisha jambo...
πππKwa sababu thereβs exception to every rule!!dont you think??π€π€
Yes. Woga hauna maigioHahahahaaaaaaa
Woga ni hisia ngumu sana kuigiza eti??
Hahahahaaaaaaa
Woga ni hisia ngumu sana kuigiza eti??
nakushauri usioe tuMabaharia wa kula kimasihara msije kuwa ni nyie mmeharibu ndoa za watu huku..
Na kutokana na hili tatizo la huyu ndugu yangu na mimi nimeahirisha kuoa hadi baada ya miaka 6. I hope 2026 nitavuta jiko..
Mkuu ndoa ina shida zake lakini kuoa ni muhimu aiseeh..
π π π π π π πInanikumbusha jamaa aliweka mtego katika purukushani za hapa na pale akachelewa kufumania akakuta tayari ameshaliwa mke wake chumba chote kinanuka mavi [emoji23][emoji23]
Usiombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah mkuu hadi Mimi nime-quote inisaidie siku nyingine kwa tatizo kama hili likitokeaMwambie jamaa arelax, huyo mwanamke hajazaliwa nae, so kila nafsi ni nafsi huru hapa duniani, akishalijua hilo hatokaa aumie tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah hapo anaumia kuliko kupigwa..yaan simsemeshi,sili chakula chake,sivai nguo aliyo fua akifua nafua upya,nalala sebuleniWanaume wachache wakishajua mke anakigawa huwa hawaulizi wala kuhoji. Anarudi nyumbani saa anayopenda, hamgusi kabisa mkewe na wala shughulini hawaendi pamoja. Mke mwenyewe bila kufukuzwa anaomba aondoke.
Mwambie jamaa arelax, huyo mwanamke hajazaliwa nae, so kila nafsi ni nafsi huru hapa duniani, akishalijua hilo hatokaa aumie tena.
Sent using Jamii Forums mobile app