Rafiki yangu kamfumania mkewe gesti

Rafiki yangu kamfumania mkewe gesti

Mabaharia wa kula kimasihara msije kuwa ni nyie mmeharibu ndoa za watu huku..

Na kutokana na hili tatizo la huyu ndugu yangu na mimi nimeahirisha kuoa hadi baada ya miaka 6. I hope 2026 nitavuta jiko..
 
Ndoa bhana unabinyabinya nyanya unanuna biringanya
 
Wanaume wachache wakishajua mke anakigawa huwa hawaulizi wala kuhoji. Anarudi nyumbani saa anayopenda, hamgusi kabisa mkewe na wala shughulini hawaendi pamoja. Mke mwenyewe bila kufukuzwa anaomba aondoke.
Yeah hapo anaumia kuliko kupigwa..yaan simsemeshi,sili chakula chake,sivai nguo aliyo fua akifua nafua upya,nalala sebuleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom