Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mkuu. Hata kama ni story ya kimbea ila umejua kuipangilia vzr na haileti mchosho kuisoma. Hongera tena japo kwangu haina maana ila imenifurahisha
Ni wivu tu unakusumbua hakuna jingine, kuna watu wanachapa vingereza uku na hawajawahi hata kufika Nairobi.
Naona umeamua kufikisha ujumbe wa mapungufu yetu ukimtumia Fred! Ndio fasihi hio.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hasira zikitulia
Dawa ya Fred ni kumpeleka Tandale Ndani ndani huko akabwe na Masela akili zitamrudia Mkuu...
Rah utuambie sahizi hasira zikiwa juu bado
Hakika wewe ni Taikon la fasihi.
Nahisi nitatukana, Fred wakumuambia Mansi wangu Mimi ni Lofa kisa sina Pesa?
Hii Acha ibaki hivi hivi
Ndo utafute pesa [emoji3][emoji3]kwani si ni kweli huna pesa
🤣🤣🤣😂😂😂😅😅😅
si unajua Vijana wa mjini wengi wetu hatuna mbele wala nyuma, hatuna Ratiba wala Kalenda, tupotupo tuu. Sina kazi! Sina kibarua maisha Kama ya Kunguru vile.
Yani nmecheka mpaka nmeshtua watu 😂😂😂 huna ratiba wala kalenda kama Pusha, hamna kulala saa yoyote unaamsha...
Kidogo niseme hivi mtu umetoka Ulaya unafikia hoteli ya nyota3 afu kijitonyama 😂😂😂😂
Yaani wewe jamaa unaonekana unamind vitu vidogo vidogo sana mkeo ana kazi sana