Rafiki yangu karudi kutoka Uingereza, nimechoka dharau zake

Hongera sana mkuu. Hata kama ni story ya kimbea ila umejua kuipangilia vzr na haileti mchosho kuisoma. Hongera tena japo kwangu haina maana ila imenifurahisha
 
Dawa ya Fred ni kumpeleka Tandale Ndani ndani huko akabwe na Masela akili zitamrudia Mkuu...
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Reactions: amu
si unajua Vijana wa mjini wengi wetu hatuna mbele wala nyuma, hatuna Ratiba wala Kalenda, tupotupo tuu. Sina kazi! Sina kibarua maisha Kama ya Kunguru vile.


Yani nmecheka mpaka nmeshtua watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huna ratiba wala kalenda kama Pusha, hamna kulala saa yoyote unaamsha...
Kidogo niseme hivi mtu umetoka Ulaya unafikia hoteli ya nyota3 afu kijitonyama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 


πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Maisha ya kisela muda wowote unaswekwa jela.

Ila Fred kanikomesha! Kamchukua Ndege wangu piah
 
Yaani wewe jamaa unaonekana unamind vitu vidogo vidogo sana mkeo ana kazi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…