Rafiki yangu karudi kutoka Uingereza, nimechoka dharau zake

πŸ˜‚πŸ˜‚kweli nimecheka maana umeeleza ukweli wa hali ya wadaresalaam wengi wenye maisha ya kuunga unga.
Wito wangu: ukubali ukweli ulioambiwa. Fred yuko sahihi kabisa.
Pia suala la kuchanganya lugha lipo hasa kama ulipokuwa nje ulikuwa unaongea lugha ya kizungu zaidi basi akili inakuwa imeshaji condition.Ukija bongo hiyo hali inaweza kukupata lkn kadiri unavyoongea na wengi kiswahili bs inaisha unarudi kama zamani.Hata accent unaweza kuwa unaongea kiswahili lkn accent yako inaathirika bila ww kujua wanaokusikiliza wanaona huyu katoka majuu hv karibuni.Hivyo Fred yuko sahihi mule mule...amekupa ndimu, wewe tengeneza lemonadeπŸ˜…
 
Mambo yake yanakera Mno.

Ukweli wake hauna msaada wowote.
Maisha yangu Hali Tete alafu analeta vingereza vigumu na maneno ya dhihaka.

Subiri
 
Robert,umemuulezea vizuri Sana fredπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kweli wewe taikon la fasihi... u
 
Robert,umemuulezea vizuri Sana fredπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kweli wewe taikon la fasihi... u

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Njoo umchukue mchumbaako huku πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
hadithi za kupotezea muda
 
hahah... sawa mkuu acha nipoteze poteze muda

Kila kitu ni ubatili.

Ukilijua hili utaishi vizuri Mno.

Usiyachukulie maisha Sirius.

Muda hauishi, upo, haujawahi kupotea.

Jihusishe na mambo yanayokupa Furaha.

Tusipoandika Sisi hakuna JF.

Unataka Maxence Mello akose pakula?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Njoo umchukue mchumbaako huku πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Huyo baki nae. vumilia Ili ufaidi Dollar alizorudi nazo. mwezi huu atakodi fortune.. mwezi ujao atahamia IST,mwisho ataanza request bolt. kuwa nae sambamba Ila angalia asije hamia geto lako la Bob Marley
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hiyo Dola 3000 si angenunulia Gari anipe nimuendeshee Uber nimpe kipande kila siku 40k
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hiyo Dola 3000 si angenunulia Gari anipe nimuendeshee Uber nimpe kipande kila siku 40k
Huyo Fred mwache tu atabaki kumiliki hiyo misamiati yake migumu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ila nimecheka Sana leo
 
Bila shaka hata hii ni Fasihi, sio real. Ujumbe umefika anyway
 
Huyo Fred mwache tu atabaki kumiliki hiyo misamiati yake migumu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ila nimecheka Sana leo

Leo tutaenda pale milimani City, tayari nimetafuta Jeans Kali na tisheti, kuna manzi tutajua nao hapo.

Huu ndio msimu wa Taikon Kupiga pisi Kali Kama kina JoannahπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…