Rafiki yangu karudi kutoka Uingereza, nimechoka dharau zake

Yaani ukifika huko na wewe unavimba kama unazo,unakunywa macoctail ya maana tu... Usirembe tafadhali tumia vizuri fursa
 
Wabongo tunapenda sana stori za kumteta mtu, kwa hiyo ndio imeishia hapa au itaendelea
 
Wabongo tunapenda sana stori za kumteta mtu, kwa hiyo ndio imeishia hapa au itaendelea
Ni therapy [tiba] na coping mechanism.

Unamsema mtu au watu ambao hata hawana muda na wewe, na katika kufanya hivyo unajisikia afueni na mambo yako yanayokuletea mazonge kwenye maisha yako.
 
fred yupo sawa wantanzania hawajui kutembea dololo kweli
 
Ni therapy [tiba] na coping mechanism.

Unamsema mtu au watu ambao hata hawana muda na wewe, na katika kufanya hivyo unajisikia afueni na mambo yako yanayokuletea mazonge kwenye maisha yako.
Huwa tunahisi eti kumteta mtu ni njia ya kupunguza makali na machungu yako ya maisha lakini hali halisi huwa inabaki palepale
 
Hahahaha iko vizuri Taikon haahahahaha
 
Yaani wewe jamaa unaonekana unamind vitu vidogo vidogo sana mkeo ana kazi sana
Soma tena utamuelewa, sisi tuliokimbia mambo ya usimuliaji tunaweza kutoka bila bila mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…