Rafiki yangu katumiwa video WhatsApp na aliekua na bifu naye akimla demu wake, je afanyaje?

Aaah alimudu kutumia pesa kunyang'anya fremu kwasababu Jamaa hana uwezo, na yeye hana uwezo wa kumiliki huyo mtoto pengine upepo ni bila bila so akubali kwamba hawezi kumiliki kila kitu.

Hakuna jipya zaidi ya kutemana na manzi, rahisi tu mbona
 
Wewe na huyo rafiki yako mnashindwa kutatua tatizo dogo kama hilo
Mwambie achukue hiyo video ni ushahidi huo peleka polisi, huyo Jose akamatwe ajieleze akitaka kufuta kesi mwambie akupe milion 3 au kesi iende mahakamanI ni kosa kumtumia mtu video ya ngono bila ridhaa yake.

Kama atakulipa hizo pesa zitafaa kabisa kurefresh mind kwa kula kitimoto na bia kadhaa kama akitaka kesi iende mahakaman itakuwa imekula kwake ww utalia demu wko vzr pia mtafute pia demu wake na yy kula pia ila ucmtumie video it is risk
 
Hao waache ujinga. Wakiendelea kuna mmoja anaweza hata kuuumia vibaya sana na hata kifo. Na siku hizi hakuna rafiki wa kweli.
 
Aaah alimudu kutumia pesa kunyang'anya fremu kwasababu Jamaa hana uwezo, na yeye hana uwezo wa kumiliki huyo mtoto pengine upepo ni bila bila so akubali kwamba hawezi kumiliki kila kitu.

Hakuna jipya zaidi ya kutemana na manzi, rahisi tu mbona
Huyu sio manzi tu mkuu, Ni girlfriend wa rafiki yangu ambae alikuwa anampenda sana na wameishi zaidi ya mwaka, Hadi familia ya rafiki yangu wanamjua, Ingekua ni kamanzi ka kutulizia tu stimu hapo mbona fasta tu mnatemana.

Rafiki yangu kwa sasa kidogo anaanza kurudi kiakili maana siku zile za mwanzo jamaa alilia kabisa jinsi anavyona Jose anavyomfaidi demu wake,

Kiukweli hata mimi au wewe sidhani kama utachukulia poa mtu anakutumia video anamnyandua demu ambae unampenda sana au wife
 
Pesa nayo kwa watu wengi inaishaga. Usikute hata demu kumwacha jamaa na kulala na rafiki yake, jamaa yake original hana hela tena na Jose akachukua demu kirahisi. Kama bado $$ ipo, asingepata stress hivyo. Angetumia nguvu ya pesa kuwapelekesha sana wote Jose na demu wake
 
Mkuu hiyo lazima iumize moyo tu ila kwa vyovyote huyo hafai tena kuitwa mke maana hata ukimsamehe ukiendelea nae hutakua ukimuamini kama mwanzo na kuna viheshima flani kama wife hana tena kwa vyovyote ni kumuacha tu hakuna namna.

Kama ameshindwa Kuwa muaminifu Kwenye uchumba akiingia kwenye ndoa ndio atamuua?? Maana most of them wanajifanya wako watakatifu kipindi cha uchumba sasa yeye kaharibu hapohapo

Kama anataka salama ya nafsi yake amteme tu, tena ashukuru Mungu amemtambua mapema kabla hajakula kiapo
 
Ukisoma malalamiko ya Jf kila muda, unaweza kujikuta unamuona mke wako pia hafai...sina cha kusema zaidi ya FIVE AGAIN.
Sure mkuu. Ila inakupa tahadhari pia.
 
Sasa ndo ummaindi Jose!

Alibaka?
 
Pole kwake. Ila hakufanya poa kumfanyia mwenzake figisu madhara yake ndo hayo jamaa kaamua kulipa kisasi. Tuwe makini namna tunavyowatendea wengine.
 
Kama unampenda rafiki yako... mwambie wameedit kama ya gwajima...😅😂
 
Namba ya China na sura ya J haipo unawaambia nini polisi
 
Jose muuza nguo wa BK!
 
Namba ya China na sura ya j haipo unawaambia nn polisi
Bora umefunguka mkuu, Namba katumia ya kichina, Sura yake haionekani, Meseji alizotuma hajaandika jina lake, n.k.

Pia ni aibu ukienda Polisi unaanza kuonekana huna akili za kumtunza demu wako au una mapungufu flani ya kumtosheleza dem wako. Hii inakujengea c.v mbaya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…