Rafiki yangu katumiwa video WhatsApp na aliekua na bifu naye akimla demu wake, je afanyaje?

Aisee.Mungu anisaidie tu ila....dah inauma sana honestly.
K yake
Kagawa kwa matakwa yake
Mauno anapiga yeye
Mashine kanyonya yeye
Kila shuruba kapata yeye.

HONESTLY WEWE INAKUUMA NINI NA MTU ASIYE MKEO?

#PIGA CHINA.

#YNWA
 
Tuanzie hapo alijiuaje km ni jose ndo aliekuwa anamla demu wake atupe uthibitisho na io ndio evidence mbali na hapo naweza sema hii thread ni ya kipuuz na imetungwa nyuma ya keyboard
nenda kwenye site www..... utaona au mtafute jamaa anaitwa mrangi humu mwambie akupe link za telegram then urud humu
 
Vijana wa siku hizi,tabu sana,yaani demu wako analiwa,wewe unapata msongo wa mawazo,!!!??
Wanawake wapo kibao,
 
Utoto ni raha sana,sasa K sio yako uchungu usikie wewe kweli!!huu ni zaidi ya ufala,na bado unasema una hela na biashara unafanya jinga sana ,nenda kachague totoz kali pale maeneo ya chuo yakufute machozi kizungu
 
nenda kwenye site www..... utaona au mtafute jamaa anaitwa mrangi humu mwambie akupe link za telegram then urud humu
Aweke video hapa hapa km anahitaji ushaur wetu kisheria au anitumie inbox nione kisha ntamshaur kisheria km io kesi anashinda au la ?
 
1: angemwambia atumiye kondomu asije kakwaa wire Kama yeye. Amwambiye anamupenda sana rafiki yake lakini atumiye condom.

2: wanawake or mabinti wa siku hizi ni Bora kuwatambulisha kwa ndugu,nyumbani dakika za mwisho miezi miwili au mitatu , maana lolote laweza tokea. Mabinti siku hizi hawaaminiki kabisa. Waweza jikuta unatambulisha kila mwaka mpaka jamii familia wakakuona hamunazo.

3. Tafuta kifaa kizuri zaidi upoteze kumbukumbu za huyo wa mwanzo.

4. Ukitaka kukata mzizi wa fitina kabisa tumia number nyingine forward hizo video picha kwa familia ya huyo binti Kaka, dada, Mama, baba , mjomba zake akili zitamukaa sawa.
 
Ngoja nkae attention, niweke connection vzr kitu inaeza dondoshwa mda wowote
 
Flemu inaweza kuwa usiwe sababu ya jamaa kummega demu sema huyo jamaa inaonekana hata bila hiyo flemu angemtafuna tu huyo demu ila hata wewe mleta mada human uhakika kama huyo Jose ndio anammega kuwa siriaz kidogo basi
Hata Kama sio Jose lakini siameshamegwa [emoji16][emoji16]
 
Hebu tuachane na hii ishu yako, maana tunajua hakuna cha rafiki yako wala nn, huu mkasa ni ww!

Hebu waungwana mwenye connection ya video ya Esther Matiko akinyanduana anitumie PM, natanguliza shukrani zangu za dhati,
Wako mtiifu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ukitumiwa hiyo clip namimi nitumie

Hivi ndio vitu muhimu tunavyopaswa kudiscus hapa
 
Ukisoma malalamiko ya Jf kila muda, unaweza kujikuta unamuona mke wako pia hafai...sina cha kusema zaidi ya FIVE AGAIN.
Kweli kweli ... Na hauwezi kuyaweza mahusiano hata siku1 yaani uki apply maneno ya humu na kuyaishi katika maisha yako aisee hautodumu na mtu

All in all naipenda Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…