Rafiki yangu katumiwa video WhatsApp na aliekua na bifu naye akimla demu wake, je afanyaje?

K yake
Kagawa kwa matakwa yake
Mauno anapiga yeye
Mashine kanyonya yeye
Kila shuruba kapata yeye.

HONESTLY WEWE INAKUUMA NINI NA MTU ASIYE MKEO?

#PIGA CHINA.

#YNWA
Si umeona jamaa kasema mshkaji alikua na mipango mingi juu yake.Kupata mwanamke sahihi sio kazi rahis so lazima ikuume tuu.
Usichukulie simple kihivyo mkuu
 
Mwenye kaya aliwahi kusema hivyo
Akimwambia mkurugenzi wetu wa jiji Dom. Aoe.
Nanukuu
"Wasichana wapo wengi tu ,wengine CBE wengine UDOM sasa unashindwa wapi kuoa mmoja"??
😁😁
 
Kisasi kwa kisasi kwanini ulete figisu figusi kwenye maisha ya watu wakati unajua kuna kahaba pembeni yako???

Fukuza huyo mwanamke kwanza ni bora kabisa amejua mwanamke wa maana hana ili sasa atumie hiyo fremu kufanya mambo ya msingi,simple..

Anget*mbwa kwenye ndoa si ungechanganyikiwa zaidi.Hamna kitu cha kushukuru kama ukigundua mapenzi ya mtu ambaye ulidhani ni bora kwako sio bora yaani n bonge la faida.Tunaita second chance ya kuchagua bora zaidi.
 
Si umeona jamaa kasema mshkaji alikua na mipango mingi juu yake.Kupata mwanamke sahihi sio kazi rahis so lazima ikuume tuu.
Usichukulie simple kihivyo mkuu
Asante sana kwa kuelewa mkuu, Yani watu humu ndani inaelekea wao wanaishi na wanawake kwajili ya kujipooza miili tu ndio maana kwao kuachana si kitu,

Jamani kuna wanawake sio kwajili ya mechi tu, Mwanamke unakuwa na malengo nae makubwa sana awe msaada katika life yako huyu sio rahisi tu kumuacha bila kuumia,
 
Aiseeh!! Toka jana nazunguka kutafuta kideo cha dada yetu mbunge sikipati kabisa, siku hizi konekseheni imekuwa tatizo sana.
 
Huwa hamsikilizi bongo fleva. Imeimbwa kwamba kumegewa ni Siri ya ndani. Kama vipi na wewe tafuta mnyonge mmegee. Mtoto acha kupiga mayowe, uacha watu waone wenyewe.
 
Shkamoo mwalimu. Naomba niwe Jose wako. Frem nimeshanyang'anywa...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ningalikuwa Mimi ningamuambia huyo Jose "KAPIME UTAKUTA ULICHOKITAFUTA" naweka na emoj za kucheka namalizia na kaujumbe haka kwa chini "RIP JOSE"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…