Acha upopoma.Iphone, Computers,Madawa,Magari,hellcopters, ndege,Nguo,sofa na bidhaa zingine nyingiii ni from hao wawili🤣🤣Zalisheni kwanza vyakwenu na technologies ziwe zenu vyinginevyo- ni WanzunguKENI hawa .Wamewazunguka kila kona.
Israel iko karibu na ushindi ni swala la muda tu!Mliisifia Israel hivyo hivyo kabla ya vita.Imekuwaje sasa mwezi wa 9
Iran wana vitu vingi wanazalisha katika viwanda vya ndani.Kama wataendele kunua ndege, magari na mitambo kutoka USA na washirika wake wajiandae kuangamia vibaya sana
mzee kashachoka atakuwa akirusha tu mabomu hovyoYule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili kuliongoza taifa hilo.
Tangu kuondoka kwenye cheo cha uraisi baada ya vipindi viwili vya uraisi hapo mwaka 2013,kiongozi huyo amewahi kutaka kugombea mwaka 2021 lakini kiongozi mkuu wa kidini wa nchi hiyo alimzuia wakati ambapo nchi hiyo ilikuwa chini ya vikwazo vya kiuchumi.Muda huo Iran ikitumia mbinu za kidemokrasia zaidi ili kupunguzo mbinyo huo wa kiuchumi. Kwa kumjua misimamo yake kiongozi huyo wa kidini akaamua kumuweka pembeni kugombea.
Iwapo Ebrahim Raisi aliyefariki kwa ajali ya ndege hivi karibuni aliweza kurusha makombora mpaka TelAviv,basi pindi Ahmednejada atashika uraisi na ikawa ni kipindi ambacho Netanyahu atakuwa hajaondoka madarakani basi mbabe huyo wa Israel na msema mbovu atakuwa amepatiwa dawa yake na lazima ataitema Palestina irudi kwa wenyewe.
Misiaada kwa wapiganaji wa Houth na kuisaidia Urusi havitakuwa ni vitu vya kificho tena
Moja ya matamko ya kimsimamo aliyoweza kutamka Ahmedinejadi mbele ya umoja wa mataifa ni kukanusha kuwepo mauwaji ya holocast kwa mayahudi kwa idadi ya mamilioni.Jambo ambalo liliwaudhi sana jamii hiyo na marafiki zao.
View attachment 3006937
Mabomu nayo yamepungua sana kutokana na wafadhili wake kuchoka na kuishiwa.mzee kashachoka atakuwa akirusha tu mabomu hovyo
🤣🤣🤣🤣.Acha upopoma.
Hata vifaa tiba na kemikali baadhi kama sulphuric acid vimekua invented na wahajemi.
Je hilo unalizungumziaje!?
Teknolojia ni suala la ku share kijana acha akili fupi.
Halafu hapo marekani yule msiempenda ndio anakuja hachekagi na kima yule mzee.Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili kuliongoza taifa hilo.
Tangu kuondoka kwenye cheo cha uraisi baada ya vipindi viwili vya uraisi hapo mwaka 2013,kiongozi huyo amewahi kutaka kugombea mwaka 2021 lakini kiongozi mkuu wa kidini wa nchi hiyo alimzuia wakati ambapo nchi hiyo ilikuwa chini ya vikwazo vya kiuchumi.Muda huo Iran ikitumia mbinu za kidemokrasia zaidi ili kupunguzo mbinyo huo wa kiuchumi. Kwa kumjua misimamo yake kiongozi huyo wa kidini akaamua kumuweka pembeni kugombea.
Iwapo Ebrahim Raisi aliyefariki kwa ajali ya ndege hivi karibuni aliweza kurusha makombora mpaka TelAviv,basi pindi Ahmednejada atashika uraisi na ikawa ni kipindi ambacho Netanyahu atakuwa hajaondoka madarakani basi mbabe huyo wa Israel na msema mbovu atakuwa amepatiwa dawa yake na lazima ataitema Palestina irudi kwa wenyewe.
Misiaada kwa wapiganaji wa Houth na kuisaidia Urusi havitakuwa ni vitu vya kificho tena
Moja ya matamko ya kimsimamo aliyoweza kutamka Ahmedinejadi mbele ya umoja wa mataifa ni kukanusha kuwepo mauwaji ya holocast kwa mayahudi kwa idadi ya mamilioni.Jambo ambalo liliwaudhi sana jamii hiyo na marafiki zao.
View attachment 3006937
Daaa mwamba ndio amezeeka hivi?Ila nakumbuka nilikuwa na rafiki zangu wa Iran hawakupenda hata uwatajie jina la huyu MtuYule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili kuliongoza taifa hilo.
Tangu kuondoka kwenye cheo cha uraisi baada ya vipindi viwili vya uraisi hapo mwaka 2013,kiongozi huyo amewahi kutaka kugombea mwaka 2021 lakini kiongozi mkuu wa kidini wa nchi hiyo alimzuia wakati ambapo nchi hiyo ilikuwa chini ya vikwazo vya kiuchumi.Muda huo Iran ikitumia mbinu za kidemokrasia zaidi ili kupunguzo mbinyo huo wa kiuchumi. Kwa kumjua misimamo yake kiongozi huyo wa kidini akaamua kumuweka pembeni kugombea.
Iwapo Ebrahim Raisi aliyefariki kwa ajali ya ndege hivi karibuni aliweza kurusha makombora mpaka TelAviv,basi pindi Ahmednejada atashika uraisi na ikawa ni kipindi ambacho Netanyahu atakuwa hajaondoka madarakani basi mbabe huyo wa Israel na msema mbovu atakuwa amepatiwa dawa yake na lazima ataitema Palestina irudi kwa wenyewe.
Misiaada kwa wapiganaji wa Houth na kuisaidia Urusi havitakuwa ni vitu vya kificho tena
Moja ya matamko ya kimsimamo aliyoweza kutamka Ahmedinejadi mbele ya umoja wa mataifa ni kukanusha kuwepo mauwaji ya holocast kwa mayahudi kwa idadi ya mamilioni.Jambo ambalo liliwaudhi sana jamii hiyo na marafiki zao.
View attachment 3006937
Wangekuwa mbali at what cost?? Kwa resources zao kumilikiwa na USA & UK? Kuendelea ingekuwa kipengere wangetumiwa.Hapana ninachoamini kuikumbatia dini na serikali kunaleta matatizo makubwa sana. Leo hii wangekuwa mbali sana kama wasingefungamana na Uislamu. Sina mawazo mgando nimejifunza mengi sana kwa kuishi katika nchi zilizoendelea.
Mungu wa israel ni wa yule wanaomuanini tu, sio wa wote. Usifikiri israel anamtegemea marekani HILO sahauMbona Muhammed Ali aliwatoa? Kutoka watatoka tu siku USA ikiondoa mkono wake. Israel ya biblia sio hii ya sasa na Mungu ni wa wote sio Israel acheni kupotoshana.
Israel anamtegemea US ndio, kila mwaka anapewa msaada wa matrillioni. Kama unabisha niambie bila US kumvamia Hitler wayahudi wangepona? Mbona walichakazwa?Mungu wa israel ni wa yule wanaomuanini tu, sio wa wote. Usifikiri israel anamtegemea marekani HILO sahau