Rafiki yangu ni mtu wa sifa ananikwaza sana

Kama hukubaliani na jambo ni Bora ukawa muwazi Kwa huyo jamaa,Kwa sababu Hali hiyo haiwezikubadilika mpaka pale utakaonyesha Nia ya wazi ya mabadiliko.
Nishawai mwambia af nishamuonyesha kuwa simkubali ila ni kama sio muelewa
 
Be open speak with her or him openly

Atakuelewa Ila ni vyema unapotaka kuachana na watu uachane nao kwa Amani maana Leo anaweza asikufae Ila akakufaa kesho.
Ase mdamwingine bora uachane na mtu kishari
 
Mpekuzi ukiondk tu anakupekua
Umenichekesha. Anafanana rafiki yangu mmoja, mtu mzima ana fedha na assets za maana. Ila mpekuzi hasa wa simu unaweza acha simu kumbe ameshanyapia passowrd akagunda na kuanza soma msg nyingne atajiforwadie then baadae aanze wahadithia watu wanaokufahamu alichokiona.
Ukiacha hilo na sifa zake, ni mtu poa akiwa na deal la ela atakushirikisha ndo maana washikaji zake tunamvumilia hivyo hivyo.
 
Bora uyo wako akiona dili la ela anakistua huyu mbinafsi unaweza mwagiza kitu cha 14k yeye akifika anakwambia 20k

Shida anataka kujifananisha na mshikaji wangu mmoja hivi ni marafiki kinoma yaani yule akikuta ata pesa mezan anachukua na ni mshikaji tulie toka nae mbali sasa yeye ni kama anataka kuchukua nafasi yake anaweza akaja akamkuta akitoka utasikia mshikaji wako simkubali ata kidogo
 
Ndio type yako hiyo, ndege wafananao, itakua tu kakuzidi kiwango.....😹
Ahahahahah hapana ase mm na rafiki mmoja tu now nataka nihame na asijue nako kaa na mkataa kirai kabisa
 
Chawa sasa ndio kama hawa. Mwambie ajiunge na kina Lucas, Chiembe na Choicevariable
 
Ulijuana nae vipi huyo mwana inaonekana mmeshibana
Ilikuwa katika harakat za hapa na pale napopoteza mda tupo kitengo kimoja yeye alikuwa kwenye kitengo kingine asa akawa tukionana analalamika oh kule kuna kazi nying mm tena sio mchoyo nikachonga na mkuu pale kuwa tuongezewe mtu nikampendekeza yeye Duh kumbe nimefanya makosa akija morng ni mwazo mwisho sifa sifa hakuna kupoa
 
Shukuru rafiki wako kama sio Mmbeya, sinichi namnafiki.

Kuna mwana Wakati anakuja kuanza kazi, nilimpokea akafikia kwangu, kula kulala Kila kitu ni kwangu.


Sasa kwenye mastori nikawa namwambia hapo kazin kwetu, Mtu fulan ana Uwezo wa kawaida wa kikazi, fulan ni mzuri kiakili nankikaz, ,Fulani kilazaa kilaza wakutupwa japo ndo Kiongozi Mkuu pale kazin.


Daah jamaa akaenda kumwambia yule Kiongozi Mkuu Kila kituuu yaan alimwelezea kua namuita yeye ni kilazaa, kasoma lkn hajui mambo mengi.


Jamaa Kiongozi akaniita, akaanza kunielezea Kila kitu .


Niliporudi, Nilimfukuza Mara Moja ,japo tupo taasisi Moja, ila hatusalimian mpaka Leo.
 
Huyu sijui ila kama ni snich mapema tu kwaza simkubali ilo analijua nisha mchana kuna siku alijisifia mpaka nikapata hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…