Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Aug 22, 2024 Thread starter #41 Carlos The Jackal said: Sema nn, watu wanaoweza kukupa hasara maishan mwako Kwa namna Moja au nyingine, hao usiwape nafasi . Click to expand... Wengine wanajificha kwenye upole ila ni nyoka wakali sana now siruhusu mtu kunizoea
Carlos The Jackal said: Sema nn, watu wanaoweza kukupa hasara maishan mwako Kwa namna Moja au nyingine, hao usiwape nafasi . Click to expand... Wengine wanajificha kwenye upole ila ni nyoka wakali sana now siruhusu mtu kunizoea
K kipigapasi Senior Member Joined Dec 7, 2010 Posts 185 Reaction score 443 Aug 22, 2024 #42 Sir Khan said: Binafsi hakuna mtu anayeweza kunizoea KIPUMBAVU hivyo. Ukitaka kuzidisha mazoea naweka uso wa Julius Ceasar,utakimbia au ukae kimya. Mwisho;sehemu ninapokaa mtu haingii kimandazi mandazi. Click to expand... ๐๐๐mkuu umenichekesha Sana, kuingia kimaandazimandazi ndio vipi mkuu๐๐๐
Sir Khan said: Binafsi hakuna mtu anayeweza kunizoea KIPUMBAVU hivyo. Ukitaka kuzidisha mazoea naweka uso wa Julius Ceasar,utakimbia au ukae kimya. Mwisho;sehemu ninapokaa mtu haingii kimandazi mandazi. Click to expand... ๐๐๐mkuu umenichekesha Sana, kuingia kimaandazimandazi ndio vipi mkuu๐๐๐