Rafiki yangu ni Wakala wa huduma za kifedha kwa mitandao ya simu ila katapeliwa kwa njia hii

Rafiki yangu ni Wakala wa huduma za kifedha kwa mitandao ya simu ila katapeliwa kwa njia hii

Hii stori nilivyoelewa mimi ni kwamba siyo kua huyo mtu alitumiwa codes za wakala ila alitumiwa namba ya simu ya wakala.

Kwahiyo pesa ilitumwa kwenye namba ya wakala (float) na siyo kwamba ilitolewa kwa kutumia hizo codes za wakala.

Hata hivyo hii logic ya umbali mbona haimake sense
 
Wanakutaalifu endapo mteja alifanya transaction akiwa ofisini kwako au karibu na hapo vinginevyo imekula kwako
Nazungumzia anapokua Kafanya muamala ofisini kwangu na kasepa, je, wanapiga kunitaarifu kwamba wanatoa au wanapiga ili tujadiliane kama watoe au wasitoe?
 
Hii stori nilivyoelewa mimi ni kwamba siyo kua huyo mtu alitumiwa codes za wakala ila alitumiwa namba ya simu ya wakala.

Kwahiyo pesa ilitumwa kwenye namba ya wakala (float) na siyo kwamba ilitolewa kwa kutumia hizo codes za wakala.

Hata hivyo hii logic ya umbali mbona haimake sense
Wanaangalia umbali mimi nilikoseaga kutoa pesa nilikua Ngudu wakaangalia yule wakala waniambia alikua Maswa pesa ikarudishwa faster ila yule wakala nilekua nae akaniambia kama location ingekua moja ndio wangemshirikisha wakala na akikataa ela hairudi
 
Okwanyo58 kwani unamdai rafiki yako pesa, nakuuliza hivyo kwani naona kama kakupiga fix hivi.....Si kweli kama mtu anaweza kutapeliwa kwa kutumia namba ya wakala Huenda alikudanganya ili tu uache kumfuata fuata kuomba hela za siku kuu. Mwisho wa mwezi huu, watu wanahaha kutafuta hela za kuwanunulia nguo watoto na wake zao pamoja na kula siku kuu vizuri. Acha kumsumbua rafikiyo kwa kumpiga mizinga kila kukicha, si vizuri.
 
inawezekana kama alimpatia codes na akatoa hela akiwa Tunduma na wakala akiwa Dar..

akapiga simu Voda muamala ukasitishwa
 
Asante kwa taarifa!

Ajifunze! siyo kila mtu ni wa kimuamini!

Voda hawawezi kumrudishia kizembe! Imeisha hiyoo!

Everyday is Saturday................................😎
hapo sio uzembe voda wanamakosa wanatakiwa warekebishe utaratibu wa muda wa kurejesha pesha angalau uwe siku mbili
 
inawezekana kama alimpatia codes na akatoa hela akiwa Tunduma na wakala akiwa Dar..

akapiga simu Voda muamala ukasitishwa
Kweli lakini bado nina wasiwasi na Okwanyo58 maana anaonekana ni mtu wa kuomba omba hela, mwangalie vizuri tu.
 
Habari zenu wote humu ndani?

Kisa kipo hivi Rafiki angu anasimulia kwamba alikuja jamaa kibandani kwake akasema kwamba kuna mtu wake anataka kumtumia hela ila hana simu ila ana namba ya jamaa kichwani, na pia ni namba ya voda.

Rafiki angu huyo akamwambia chukua namba yangu hii ya Wakala (zile code zao za kuweka na kutoa) mtumie huyo ndugu yako na jina ninalotumia hapa ili atume hapo jamaa, "sawa"

Kawasiliana kupitia simu ya rafiki angu hiyo ya Uwakala karudisha kamwambia atatuma chap, mara mlio wa sms kwenye simu ya Rafiki yangu" umepokea laki moja na tisini, kaihakikisha kila kitu jina na namba na salio limeongezeka kweli, katoa hela kampa jamaa huyo kasepa,

Kimbembe kinakuja kesho kaweka kama laki moja hivi ya flot ila akashangaa imekatwa, kupiga makao makuu na kuwaelezea imekuwaje? Wanasema kwamba kuna mtu alituma hela kwenye namba yako ila ali cancel muamala kwenye menu ya M-pesa ndo tumeirudisha kwake baada ya masaa 24 rafiki aaah😳 ndo kawaelezea kila kitu jinsi ilivyokuwa ila mpaka leo Ni majibu yao ni subiri subiri tatizo tunashughulikia,

Na rafiki anakatwa mshahara kidogo kidogo na mwajili wake mwenye kibanda.

Swali!: Je, ata kwenye Code za wakala mtu anaweza tuma pesa harafu akaizuia huku wakala asijue wala kuletewa sms kwamba muamala umezuiwa kutoka namba flani ili kuepuka uhuni wa namna hii?
rafiki yako kaamua kukunyima hela ya sikukuu kwa jinsi hii
 
Acha uongo....Sasa hivi Vodacom huwez kutoa hela kwa wakala ukiwa mbali....hiyo habari iliishaga tokea mwezi wa nane uko baada ya wizi wa staili hiyo kuibuka
 
Voda hawana makosa huyo wakala ndio ana makosa

Voda wanaamini wateja wote unao wahudumia wapo hapo ofisini kwako na laini zako hivyo muamala kati ya wakala na mteja umefanyika katika mnara mmoja

Sasa kama mteja amepiga simu kuwa amekosea muamala na voda wakiangalia katika system wakaona mteja yupo Kawe na wakala yupo Mbagala hawana hata haja ya kumuuliza wakala wanamrudishia tu mteja pesa yake

Ilitakiwa ampe huyo tapeli namba yake ya kawaida itumiwe hiyo pesa alafu yeye atoe katika hiyo code yake ya uwakala ampe pesa yake kama aliamua kumsaidia
Ina mana mimi kama Nipo kkoo halafu nikatoa pesa, nikiwa kwangu mbezi au mlandizi tayari naweza kukacenli ule muamala?
 
Uzembe ni wa dogo janja,niwape tu taarifa hao wakala wa mobile money mtu akitoa pesa hakikisha anakuonyesha sms ya muamala, mi nilishawahi kukosea code ya wakala kipind kile unawapigia nikawaambia dk kadhaa pesa ikarudishwa, watu wanaotapeliwa sana ni maeneo yenye msongamano ambao wapo bize na wateja wengi, pesa ya uyo h aisamehe otherwise voda watumie busara kuset panga ktk account ya uyo mwizi muamala ukiingia tu
 
Hii chai ya moto sana...asee huo utaratibu haupo. Voda hawawezi kurudisha muamala ulioingia kwa wakala kimakosa bila kumpigia wakala mwenyewe.

Kama jamaa kapiga simu voda kudai kakosea kutoa kwa wakala tofauti hatua ya kwanza utapigiwa simu na Vodacom ili uthibitishe kama ni kweli ama la. Huyo ndugu yako kakudanganya.
 
Ina mana mimi kama Nipo kkoo halafu nikatoa pesa, nikiwa kwangu mbezi au mlandizi tayari naweza kukacenli ule muamala?
Yahh ukipigiga simu unarudishiwa na ndio maana kila wakala ana kitabu ili akisha muhudumia mteja anatakiwa achukue detail za mteja na mteja anatakiwa asaini

Tatizo tunafanya mambo kienyeji sana

Tena hiyo miamala ya mbali hata commission zake huwa wanazi cancel hapo wakala anakuwa amefanya huduma ya bure
 
Sio kweli.

Kutoa kwa wakala hakuna cancellation, cancellation ni kwa kumtumia mtu kimakosa na sio kutoa kwa wakala.

Rafiki yako amekudanganya.
Cancellation ipo ENDAPO umekosea namba ya wakala wa ilo eneo ulilopo ila hapo kwa hapo namba yabwakala ndo iyo you will never ,jaribu kurisk elfu mbili toa andika namba ya wakala wa simiyu alafu fanya cancellation uone kama haijarudi mi imeshanitokea ikarud nikawaza aina iyo ya kuzulumu 2019 ila naona watu ndo wanaijua leo
 
Yahh ukipigiga simu unarudishiwa na ndio maana kila wakala ana kitabu ili akisha muhudumia mteja anatakiwa achukue detail za mteja na mteja anatakiwa asaini

Tatizo tunafanya mambo kienyeji sana

Tena hiyo miamala ya mbali hata commission zake huwa wanazi cancel hapo wakala anakuwa amefanya huduma ya bure
Bob hawez rudisha kienyeji. Na zile logbook kuna kampuni hazina je utaweka wap details za mteja?

Mteja kaja kasema anatoa hela lakini kumbe mtoaji yuko mbali ww utamkaguaje? Lazima kampuni ikupigie simu kuhakiki kama ni kweli kuna mualama umeingia kimakosa kwenye acc yako.
 
Back
Top Bottom