D
Kama unateswa na mapenzi pole mkuu wengine imebaki historia tu kuwa tumewahi teswa na mapenzi. Nipo upande wa pili wa watesaji tangu muda sana
Wakati ukifika nitaoa bikra. Natafuta kwanza pesaOa wewe bikra mkuu inatosha
Ausio!!
Hawatafika mbali.Nimempa huo ushauri naona ameishia kutoa tu povu. Narudia tena kumpa ushauri kama sio bikra asioe. Atanishukuru baadaye