Rafiki yangu wa kike kaibiwa iPhone ndani ya mwendokasi kivukoni

Poleni, Kama anakumbuka Apple ID username na password yake a log in kwa PC kule aende ikaizime simu

yule alieiba haezi ifungua labda aiuze na atakae nunua ni hivohivo

Heri tupate hasara wote asee
 
Kweli kabisa
 
Duuuuh shoga ako hakwenda na mapolisi? Ili wamkamate huyo mwizi.
 
Sas mtu ananunua iphone afu ana ningiania kweny daladala[emoji23][emoji23][emoji23]wabongo bhna
Mm nikiwa hata na la5 au nina kitu cha thaman nakodi hata boda

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app

IPhone 7 ukodi boda mkuu?Nailivyoshuka bei now hadi laki3 unapata makumbusho au kino huko! Ingekua iPhone 13 at least
 
Mh itakuwa kweli ila hawa wanaosema kuna wataalam K/Koo hawashindwi kufanya hivyo !
 
Sas imagine angeenda kuiuza elf20 kwq fundi lakin muhusik umenunua 1.2 m
Yy hana hasara ndo maana tunasem umakin unahitajik sana

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Sas mtu ananunua iphone afu ana ningiania kweny daladala[emoji23][emoji23][emoji23]wabongo bhna
Mm nikiwa hata na la5 au nina kitu cha thaman nakodi hata boda

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Mashauzi tu…
Ndio iwe yako hapo sahivi ina maana utakuwa daily unapanda boda kwenda kazini/ mishe zako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…