Rafiki yangu wa kike kaibiwa iPhone ndani ya mwendokasi kivukoni

Upo karne ya ngapi wewe..?, Leta iphone yako hata ile latest nikutolee hicho ki password chako
 
Poleni, Kama anakumbuka Apple ID username na password yake a log in kwa PC kule aende ikaizime simu

yule alieiba haezi ifungua labda aiuze na atakae nunua ni hivohivo

Heri tupate hasara wote asee

K/koo ukienda na iPhone 6-12 ikiwa kwenye activation lock/hello wanacheza nayo inaludi mpya ila kuna option kadhaa kuna full meid,gsm iwe full yani full network service kuna zile una kuta hazisomi line ni wifi only sasa Iphone13 huwez bypass na kuna zile uki bypass ndani uki reset umeisha nyingine simu inaludi kwenye hello nakudai icloud ya mlengwa
 
Nikiibiwa simu sihangaiki, maana najua nitamdaka mjinga atayeinunua
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… daah
 
Sio kila IPhone ni IPhone. Iphone yoyote yenye home button sio IPhone.
 
Mnunulie nyingine tuu au 11 kabisa. Kwan shing ngap babu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…