Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Kwa zamani sawa ila kwa sasa hata uwe na nini hupati simu ng'ooKama mmiliki ana IMEI numba na risiti uwezekano upo japo polisi nao wakiipata wanakausha nayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa zamani sawa ila kwa sasa hata uwe na nini hupati simu ng'ooKama mmiliki ana IMEI numba na risiti uwezekano upo japo polisi nao wakiipata wanakausha nayo
Upo karne ya ngapi wewe..?, Leta iphone yako hata ile latest nikutolee hicho ki password chakoMbona iphone mtu akiiba hawezi kuitumia? Hata password yenyewe hawezi itoa, hata kuiflash hawezi. Na hakuna mtu wa kuinunua ikiwa nzima.labda kuuza parts kwa.mafunnd simu.
Shoga yangu aliibiwa iPhone stend tukawa tunaipiga akapokea huyo mwizi akamuhaidi kumpa kesho asubuhi.
Asubuhi mwizi hakutokea, kama saa nne tukapiga akapokea akatupa mashart kuwa shoga yangu aende mwenyewe na elfu 60. Akamwambia jengo alilopo kwakuwa ni mchana akaenda kufika kweli akamkuta kavaa kofia hadi usoni.
Akamuuliza umeleta 60 yangu ya kuokota? Akajibu ndio.akamwambia simu hii hapa weka hapo hiyo hela ,akaweka akaihesabu akamrushia simu kama ilivyo kuwa.
Akamwambia bahati yako sister simu haiuziki hiyo.
Kwenye Pantoni hakuna wizi! Wizi wa simu upo kwenye Mwendokasi,na wanaoibiwa wengi ni Wanawake hasa wale ma sister duu!!!Tafuta pesa uache kuandika threads za namna hii...
Unapanda pantoni halafu unashangaa kuibiwa!!!
KabisaSas imagine angeenda kuiuza elf20 kwq fundi lakin muhusik umenunua 1.2 m
Yy hana hasara ndo maana tunasem umakin unahitajik sana
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Poleni, Kama anakumbuka Apple ID username na password yake a log in kwa PC kule aende ikaizime simu
yule alieiba haezi ifungua labda aiuze na atakae nunua ni hivohivo
Heri tupate hasara wote asee
Nimesem hv mm hta nikiw na kitu chenyeny thaman huw sipand daladal otherwise umakin mkubwa unahitajikMashauzi tu…
Ndio iwe yako hapo sahivi ina maana utakuwa daily unapanda boda kwenda kazini/ mishe zako?
Kwenye Pantoni hakuna wizi! Wizi wa simu upo kwenye Mwendokasi,na wanaoibiwa wengi ni Wanawake hasa wale ma sister duu!!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Una uhakika na unalolisema au umeishi kwa kukaririWana pretend hao maisha
Wakiibiwa ndiy vilio km hvi thread zinaanzishwa
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Bajaji from Kivukoni to Kimara?Point ipo hiv
Ukion unamilik kitu vmcha thaman kubwa usipande daladala bcs kitachotokea ndo km hiki
Imagine angepanda hta bajaji beng ingefik salama
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Okay sawaNi demu wako.
😅😅😅 daahK/koo ukienda na iPhone 6-12 ikiwa kwenye activation lock/hello wanacheza nayo inaludi mpya ila kuna option kadhaa kuna full meid,gsm iwe full yani full network service kuna zile una kuta hazisomi line ni wifi only sasa Iphone13 huwez bypass na kuna zile uki bypass ndani uki reset umeisha nyingine simu inaludi kwenye hello nakudai icloud ya mlengwa
Daah sema ukiibiwa akili zinarukaga acha tuSi angeenda na undercover police?
Mtazamo wako tu huoSio kila IPhone ni IPhone. Iphone yoyote yenye home button sio IPhone.
Wanajikweza kisa kile kiapple kilicho na biteKwani mtu anayemiliki iPhone huwa unamuonaje? Ki mtazamo wako
Hahahahaaa wabongo bhnWana pretend hao maisha
Wakiibiwa ndiy vilio km hvi thread zinaanzishwa
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
PoaaahOkay sawa
Sasa kama hupati software updates za manufacturer itakua je iPhone..... Ilikua iPhone beforeMtazamo wako tu huo