Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kufanya icho kitu ila kwa hawa dada zetu hawana sehemu nyingine za kutunza vitu vyao tofauti na vipochi na vibegUkiwa kwenye msongamano wowote iwe sokoni au kwenye mabus ya uma usithubu kuweka pesa au simu kwenye beg zen ukavaa kwa nyuma au pesa kwenye mfuko wa nyuma wa suruali,,,,,hasa ukiwa dsm.
Alafu sim itapatikana vipi maana aliyeiba atapata matatizo bila kujua ni wapi alipoKuna babu mmoja namjua yupo tanga kama unataka kumtungeneza huyo mwizi wee njoo pm nikupe connection
Nikifanikisha kukutana nae nitamuuliza hivi vitu vyote kama anavyoKama mmiliki ana IMEI numba na risiti uwezekano upo japo polisi nao wakiipata wanakausha nayo
[emoji17]
Sawa Mtoto wa BakhressaTafuta pesa uache kuandika threads za namna hii...
Unapanda pantoni halafu unashangaa kuibiwa!!!
Ndio mkuuRafiki yako wa kike ??
Lakini ni gafla sanaWamemsaidia anunue nyingine tu iPhone 7 ya zamani sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamemsaidia anunue nyingine tu iPhone 7 ya zamani sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni demu wake, hapo anaogopa kuingia gharana ya kununua i4n mpyaa, anataka waitafute ya zaman.Rafiki yako wa kike ??
[emoji17][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni demu wake, hapo anaogopa kuingia gharana ya kununua i4n mpyaa, anataka waitafute ya zaman.
Ndiyo hapo sasaKama mmiliki ana IMEI numba na risiti uwezekano upo japo polisi nao wakiipata wanakausha nayo
Simu unawekaje kwenye begi la mgongoni
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimeshanga kwa kweli sio kwa uzembe huoHahah aliweka simu kwenye backpack ili asiibiwe lakini kaibiwa...
Weng wanaomilik iphon ni masikin wakutupwa kuliko Alf madon ndiyo wanamiliki tecno na infinix