Rafiki yangu wa kike kaibiwa iPhone ndani ya mwendokasi kivukoni

Rafiki yangu wa kike kaibiwa iPhone ndani ya mwendokasi kivukoni

Ukiwa kwenye msongamano wowote iwe sokoni au kwenye mabus ya uma usithubu kuweka pesa au simu kwenye beg zen ukavaa kwa nyuma au pesa kwenye mfuko wa nyuma wa suruali,,,,,hasa ukiwa dsm.
Sijawahi kufanya icho kitu ila kwa hawa dada zetu hawana sehemu nyingine za kutunza vitu vyao tofauti na vipochi na vibeg
 
Kuna babu mmoja namjua yupo tanga kama unataka kumtungeneza huyo mwizi wee njoo pm nikupe connection
Alafu sim itapatikana vipi maana aliyeiba atapata matatizo bila kujua ni wapi alipo
 
Kwanini hamzikatii bima simu zenu [emoji23][emoji23] punde mnavyoibiwa mlipwe
 
Chakwanza iyo imeenda tiali saiv kuna watoto k/koo wanacheza tu na imei huipati labda kama waloiba wawe wana na akili ya kwenda kuibaypass hapo utaipata kama umezikach imei zako nenda kafungue loss report polisi kitengo cha cyber watakusaidia.
 
Back
Top Bottom