Rafiki yangu wa kike kaibiwa iPhone ndani ya mwendokasi kivukoni

Rafiki yangu wa kike kaibiwa iPhone ndani ya mwendokasi kivukoni

Ashukuru Mungu tu maisha yaendelee.

Ikiwa bahati sana kupata hao polisi wawe serious kuifuatilia.
 
Chakwanza iyo imeenda tiali saiv kuna watoto k/koo wanacheza tu na imei huipati labda kama waloiba wawe wana na akili ya kwenda kuibaypass hapo utaipata kama umezikach imei zako nenda kafungue loss report polisi kitengo cha cyber watakusaidia.
Asante kwa hili[emoji120]
 
Sas mtu ananunua iphone afu ana ningiania kweny daladala[emoji23][emoji23][emoji23]wabongo bhna
Mm nikiwa hata na la5 au nina kitu cha thaman nakodi hata boda

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Mbona iphone mtu akiiba hawezi kuitumia? Hata password yenyewe hawezi itoa, hata kuiflash hawezi. Na hakuna mtu wa kuinunua ikiwa nzima.labda kuuza parts kwa.mafunnd simu.

Shoga yangu aliibiwa iPhone stend tukawa tunaipiga akapokea huyo mwizi akamuhaidi kumpa kesho asubuhi.

Asubuhi mwizi hakutokea, kama saa nne tukapiga akapokea akatupa mashart kuwa shoga yangu aende mwenyewe na elfu 60. Akamwambia jengo alilopo kwakuwa ni mchana akaenda kufika kweli akamkuta kavaa kofia hadi usoni.

Akamuuliza umeleta 60 yangu ya kuokota? Akajibu ndio.akamwambia simu hii hapa weka hapo hiyo hela ,akaweka akaihesabu akamrushia simu kama ilivyo kuwa.

Akamwambia bahati yako sister simu haiuziki hiyo.
 
Ukiwa kwenye msongamano wowote iwe sokoni au kwenye mabus ya uma usithubu kuweka pesa au simu kwenye beg zen ukavaa kwa nyuma au pesa kwenye mfuko wa nyuma wa suruali,,,,,hasa ukiwa dsm.

Correct!
 
Back
Top Bottom