Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
-
- #181
NilichomaanishaUmeandika Mengi ila mada yako simply inaishia sehem moja tu. "Ukosefu wa pesa" ambao simply haukusababishwa na huyo mwanamke.
LAKIN MADA YAKO haija sema kwann mtu asioe.
and si kila mtu anae anaishia kwenye same result as huyo jamaa
RIP DAVEWajumbeeeeeee...
SIKIA hiiii......
Mwaka 2012 nilikutana na Dav (sio jina lake halisi) akiwa mkuu wa kitengo fulani ofisi kubwaa Morogoro.
Kipindi hicho mi nilienda ofisini kwao kufanya field.
Kwasababu yeye alikua mkuu wa kitengo nilichopangiwa field then nilimkubali sanaa mwana.
Alikua mchapa kazi balaaa na mtafuta hela hasaaa.
Kitengo kiling'ara kwasababu yake.
Maisha yake binafsi yalikua mazuri huku akimiliki nyumba na gari (simply kijana mwenye chenji zake).
Field ikaisha na Mimi nikasepa.
Ila urafiki uliendeleaa then ukapotea ghafla.
Baada ya muda bila kuwasiliana siku moja (mwaka jana) ghafla nikamkuta njiani.
Alikua kachoka balaaa, halafu ANATAFUTA KAZI..!!!
Dah ikabidi nisimamishe tukituki yangu ya miguu 4 apande kwenda sehemu kuongea.
Alikua kama kachanganyikiwa.
Nikampa lunch then nikampeleka gheto.
Alikaa gheto kama wiki hivi, then akasepa Dar.
Alichonihadithia....
1. Mwaka ule wa field yangu (2012) alioa.
2. Mkewe alimkuta Dav ana nyumba, gari, mashamba na Mali kibaoo.
3. Baada ya ndoa, miaka iliyofata maisha nyumbani yalianza kuwa magumu, kampuni ilikua ya wazungu. Then mkataba uliisha, wazungu wakarudi kwao, Dav akakosa permanent income.
4. Mkewe akachepuka na kuhamia kwa jamaa mpya mazima.
5. Mkewe alipeleka kesi mahakamani kuomba talaka.
6. Huko nako Dav alichosikia, mkewe alitembeza mbunye na pesa mpaka talaka ikatolewa.
7. Ilibidi gari na mashamba yauzwe iliwagawane na ndoa ivunjwe..!!!
Nikashangaa....
""Mbona hizi Mali ulizipata kabla ya ndoa??""
Alinijibu "hata sijui nini kilifanyika, na vile kuokoa watoto wangu (wawili) ilibidi nikubali liuzwe gari na mashamba ndio tugawane halafu nyumba abaki nayo akae na watoto"
Mwana alikua kama kachanganyikiwa.
Tuliongee akasema anaenda Dar kutafuta ajira na anashukia kwa Steve (sio jina lake halisi).
By accident Steve namjua sanaa (classmate).
Then siku ilivyofika nikampeleka stend akapanda ndinga huyoo Dar.
Yote haya yalitokea February/2021.
Leo yaani alifajiri hii napata taarifa kuwa "Davi kafariki kwasababu ya ugonjwa wa akili"
Steve anasema......
1. Dav alikuwa mwana Sana, tulicheza na kukua wotee kitaa
2. Kwasababu tupo field moja ya Kazi then tuliunda kama team ya kusaidiana kimawazo ya fani yenu.
3. Kila jambo, liwe jipya au gumu tunashirikishana.
4. Ila tokea aoe na kuanza matatizo ya ndoa performance ilishuka.
5. Kazi zikaisha
6. Mali zake zikauzwa
7. Alivyofika Dar alikua kama chizi, kutwa kuwataja wanae, mara aropoke majina ya mkewe kwa hasira na vitu kama hivyo.
8. Tarehe 01/08 hali ilikua mbaya hasa, akakimbizwa hospital.
9. Na leo 07/08/2021 Dav KAFARIKI kwasababu ya matatizo ya akili.
Dah....
1. Watoto wawili hawana baba Tena.
2. Kuna wazazi wamepoteza mpendwa wao mtoto wa kiume PEKEE.
3. Kuna sisi tumepoteza role model wa Kazi na rafiki.
4. Tasinia yetu ya science imepoteza MTALAAMU.
5. Tanzania imepungukiwa na GDP
Yoteee haya eti kisa mbunye..!!!
1. We unadhani angeamua kuwa single kama Mimi ANGEKUFA na NDOA?
2. We unadhani angeamua kum-HIT AND RUN huyo mkewe YANGETOKEA HAYA?
3. We unadhani ...........
Alidhani kuoa ni kuzuri KUMBE KUMEMTAFUTIA KIFO MAPEMA AKIWA NA MIAKA 39 tuuu.
Tafuta hela kijana kuoa ni upuuzi kwa dunia ya sasa.
Hawataki penzi lako ila WANATAKA HIZO MALI ZAKO.
They are GOLD DIGGERS, they need kuchimba dhahabu yotee kutoka kwenye huo mgodi wako then wauache empty.
Leo nipo gheto kusikiliza nyimbo alizozipenda Dav tuu...
RIP BROTHER.
""If you think money can't buy happiness, nenda kaulize ajira mpya walimu wiki hii walivyolipwa HELA ZAO KUJIKIMU na Halmashauri zao WALIJISIKIAJE""
View attachment 1883485
View attachment 1883489
Tafuta HELA kijana.
#YNWA
HandeniSasa huko Handeni na Mwanza wapi mjini
Wazigua na Morogoro wapi na wapi huko kwa Waluguru wafupi watani zanguKwa hiyo wazigua mnaishi Morogoro milimani nikadhani Baharini Tanga.
madam we kwel unaweza ku-work under pressure ,,una majibu flan hiv calm you don't panic japokua umekua attacked,, are u employed ma'am? [emoji3]Moyo wa kuua sina ila nina moyo wa kuacha mtu aende ampate anaemdeserve
anachukua 35%Mimi naombeni mnisaidie kujua hili swala
Hivi mimi nikioa saiv na huyo mwanamke akanikuta nimali zangu za kutosha ambazo nimezipat kabla yakuwa nae
Je tukiachana hizo mali tutazigawana wote japo nilitafut pekee yangu.
😢Wajumbeeeeeee...
SIKIA hiiii......
Mwaka 2012 nilikutana na Dav (sio jina lake halisi) akiwa mkuu wa kitengo fulani ofisi kubwaa Morogoro.
Kipindi hicho mi nilienda ofisini kwao kufanya field.
Kwasababu yeye alikua mkuu wa kitengo nilichopangiwa field then nilimkubali sanaa mwana.
Alikua mchapa kazi balaaa na mtafuta hela hasaaa.
Kitengo kiling'ara kwasababu yake.
Maisha yake binafsi yalikua mazuri huku akimiliki nyumba na gari (simply kijana mwenye chenji zake).
Field ikaisha na Mimi nikasepa.
Ila urafiki uliendeleaa then ukapotea ghafla.
Baada ya muda bila kuwasiliana siku moja (mwaka jana) ghafla nikamkuta njiani.
Alikua kachoka balaaa, halafu ANATAFUTA KAZI..!!!
Dah ikabidi nisimamishe tukituki yangu ya miguu 4 apande kwenda sehemu kuongea.
Alikua kama kachanganyikiwa.
Nikampa lunch then nikampeleka gheto.
Alikaa gheto kama wiki hivi, then akasepa Dar.
Alichonihadithia....
1. Mwaka ule wa field yangu (2012) alioa.
2. Mkewe alimkuta Dav ana nyumba, gari, mashamba na Mali kibaoo.
3. Baada ya ndoa, miaka iliyofata maisha nyumbani yalianza kuwa magumu, kampuni ilikua ya wazungu. Then mkataba uliisha, wazungu wakarudi kwao, Dav akakosa permanent income.
4. Mkewe akachepuka na kuhamia kwa jamaa mpya mazima.
5. Mkewe alipeleka kesi mahakamani kuomba talaka.
6. Huko nako Dav alichosikia, mkewe alitembeza mbunye na pesa mpaka talaka ikatolewa.
7. Ilibidi gari na mashamba yauzwe iliwagawane na ndoa ivunjwe..!!!
Nikashangaa....
""Mbona hizi Mali ulizipata kabla ya ndoa??""
Alinijibu "hata sijui nini kilifanyika, na vile kuokoa watoto wangu (wawili) ilibidi nikubali liuzwe gari na mashamba ndio tugawane halafu nyumba abaki nayo akae na watoto"
Mwana alikua kama kachanganyikiwa.
Tuliongee akasema anaenda Dar kutafuta ajira na anashukia kwa Steve (sio jina lake halisi).
By accident Steve namjua sanaa (classmate).
Then siku ilivyofika nikampeleka stend akapanda ndinga huyoo Dar.
Yote haya yalitokea February/2021.
Leo yaani alifajiri hii napata taarifa kuwa "Davi kafariki kwasababu ya ugonjwa wa akili"
Steve anasema......
1. Dav alikuwa mwana Sana, tulicheza na kukua wotee kitaa
2. Kwasababu tupo field moja ya Kazi then tuliunda kama team ya kusaidiana kimawazo ya fani yenu.
3. Kila jambo, liwe jipya au gumu tunashirikishana.
4. Ila tokea aoe na kuanza matatizo ya ndoa performance ilishuka.
5. Kazi zikaisha
6. Mali zake zikauzwa
7. Alivyofika Dar alikua kama chizi, kutwa kuwataja wanae, mara aropoke majina ya mkewe kwa hasira na vitu kama hivyo.
8. Tarehe 01/08 hali ilikua mbaya hasa, akakimbizwa hospital.
9. Na leo 07/08/2021 Dav KAFARIKI kwasababu ya matatizo ya akili.
Dah....
1. Watoto wawili hawana baba Tena.
2. Kuna wazazi wamepoteza mpendwa wao mtoto wa kiume PEKEE.
3. Kuna sisi tumepoteza role model wa Kazi na rafiki.
4. Tasinia yetu ya science imepoteza MTALAAMU.
5. Tanzania imepungukiwa na GDP
Yoteee haya eti kisa mbunye..!!!
1. We unadhani angeamua kuwa single kama Mimi ANGEKUFA na NDOA?
2. We unadhani angeamua kum-HIT AND RUN huyo mkewe YANGETOKEA HAYA?
3. We unadhani ...........
Alidhani kuoa ni kuzuri KUMBE KUMEMTAFUTIA KIFO MAPEMA AKIWA NA MIAKA 39 tuuu.
Tafuta hela kijana kuoa ni upuuzi kwa dunia ya sasa.
Hawataki penzi lako ila WANATAKA HIZO MALI ZAKO.
They are GOLD DIGGERS, they need kuchimba dhahabu yotee kutoka kwenye huo mgodi wako then wauache empty.
Leo nipo gheto kusikiliza nyimbo alizozipenda Dav tuu...
RIP BROTHER.
""If you think money can't buy happiness, nenda kaulize ajira mpya walimu wiki hii walivyolipwa HELA ZAO KUJIKIMU na Halmashauri zao WALIJISIKIAJE""
View attachment 1883485
View attachment 1883489
Tafuta HELA kijana.
#YNWA
Utawapataje bila kusex?Unaweza kupata watoto bila ya ndoa, labda kama umeamua kujichagulia maana ya ndoa kua hat kujamiana pia kumaanishe ndoa
Kwani nani alikudanganya ku sex kuna hitaji ndoa, unaelewa maana ya ndoa?Utawapataje bila kusex?
Kwahyo utasex kavu na kila mwanamke unayemuona ili upate watoto?
Na nyumbani nani atakuwa msaidizi wako ktk hali na Mali
Ndugu yangu usijidanganye ukajiona ni mzima wa afya.
Unaweza ukabanwa usiku ukakosa hata mtu wa kuomba maji.
Ukajifia week nzima ndani ,,
watu wanapata taarifa kwa harufu unayotoa chumbani kwako.
Usidhani watu wanaoa kwa lengo la kusex pekee.
Mke ni zaidi ya sex .
Kuna tatizo,,linaweza kukukuta ghafla ukakosa hata wa kutoa taarifa haraka usaidiwe.
Mtu akishakuwa over 50 bila mke au kuishi na family ni tatizo kubwa sn.
Muuaji ameshapatikana wanabodi......ngoja tufanye chakato wa ku arrest hii gaidi ya feelings za watu....ushahidi uko wazi kabisaa hapa.Na wangu alitaka kujiua kwa bahati nzuri maziwa na majirani walikuwa karibu.Nilimchana live,usilete nuksi mjini,ufe kwa ajili yangu,mimi nisiyenduguyo,huwez fikiria tabu alizopata mother wako mpaka umefika hapa?
Huwez waza maumivu atakayopata mama ako ukifa? Embu itazame sura yangu vizuri je hujutii kutaka kujiua sababu yangu ambaye siingii hata mara moja kwa warembo utakaowaacha duniani na wenye kiu kweli ya ndoa?
NAONA ALINIELEWA MAANA NAONA HATA KUPIGAPIGA SIMU KUWAJULIA HALI WATOTO KAPUNGUZA.Ndo nitajua sijui safari hii,sijui nilianzajeanzaje kumsanua...nadhani kabla ya kumchana alikuwa ananiona mimi tu dunian sasa sijui huko anafanyaje eti?