Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Na wangu alitaka kujiua kwa bahati nzuri maziwa na majirani walikuwa karibu.Nilimchana live,usilete nuksi mjini,ufe kwa ajili yangu,mimi nisiyenduguyo,huwez fikiria tabu alizopata mother wako mpaka umefika hapa?

Huwez waza maumivu atakayopata mama ako ukifa? Embu itazame sura yangu vizuri je hujutii kutaka kujiua sababu yangu ambaye siingii hata mara moja kwa warembo utakaowaacha duniani na wenye kiu kweli ya ndoa?

NAONA ALINIELEWA MAANA NAONA HATA KUPIGAPIGA SIMU KUWAJULIA HALI WATOTO KAPUNGUZA.Ndo nitajua sijui safari hii,sijui nilianzajeanzaje kumsanua...nadhani kabla ya kumchana alikuwa ananiona mimi tu dunian sasa sijui huko anafanyaje eti?
kumbe wewe ni singo maza.
 
mh ila mbona kama kawa kichaa mkuu, ila litakukuta jambo. Mungu ibariki tanzania tubariki wanaume, maana dada unamoyo wa kiume mwamba moyo wa kike? Ila ungekuwa wangu kwa moyo huo nishataambaa kitambo najua nisipokaa kwa kutulia utanitia petrol
Moyo wa kuua sina ila nina moyo wa kuacha mtu aende ampate anaemdeserve
 
Hiyo profile ni wewe? Kama ndiyo, ana haki ya kukataa kukuacha!
Nimeamua kuendelea kuishi nae coz kihistoria aliachwaga na mama yake mzazi akiwa na two years old only akalelewa na ndugu ambao nao hawakumpa malez bora.Nadhani hiyo ilichangia yeye kuona bora kufa coz alihisi ana roho ya kukataliwa.Mungu aendelee kumpigania
 
Shida ni kwamba hachati mbususu??, mbona inaonyesha still una huruma ndani yako?? Au kunachangamoto ipi ambayo huwezi rekebisha mpaka utake kumpoteza mwamba??
Nimeamua kuendelea kuishi nae coz kihistoria aliachwaga na mama yake mzazi akiwa na two years old only akalelewa na ndugu ambao nao hawakumpa malez bora.Nadhani hiyo ilichangia yeye kuona bora kufa coz alihisi ana roho ya kukataliwa.Mungu aendelee kumpigania
 
Nimeamua kuendelea kuishi nae coz kihistoria aliachwaga na mama yake mzazi akiwa na two years old only akalelewa na ndugu ambao nao hawakumpa malez bora.Nadhani hiyo ilichangia yeye kuona bora kufa coz alihisi ana roho ya kukataliwa.Mungu aendelee kumpigania
Kumbe ni mzima, sasa kama mpaka watoto kakuzalisha ana ubovu gani? Nilijua hawezi kuzalisha kabisa, kumbe ni mzima eeh?![emoji849][emoji849][emoji182] haya mu-enjoy maisha sasa, mengine mtaelekezana ili mradi tu ni mzima na anazalisha.
 
Nimeamua kuendelea kuishi nae coz kihistoria aliachwaga na mama yake mzazi akiwa na two years old only akalelewa na ndugu ambao nao hawakumpa malez bora.Nadhani hiyo ilichangia yeye kuona bora kufa coz alihisi ana roho ya kukataliwa.Mungu aendelee kumpigania
Mama yake alimkataa akiwa mdogo, au alimtelekeza?
 
Acha mambo yako wewe

Hapa wife yuko ameupara hatare ana furaha ya kuniona home wikendi[emoji23][emoji23]
 
Na wangu alitaka kujiua kwa bahati nzuri maziwa na majirani walikuwa karibu.Nilimchana live,usilete nuksi mjini,ufe kwa ajili yangu,mimi nisiyenduguyo,huwez fikiria tabu alizopata mother wako mpaka umefika hapa?

Huwez waza maumivu atakayopata mama ako ukifa? Embu itazame sura yangu vizuri je hujutii kutaka kujiua sababu yangu ambaye siingii hata mara moja kwa warembo utakaowaacha duniani na wenye kiu kweli ya ndoa?

NAONA ALINIELEWA MAANA NAONA HATA KUPIGAPIGA SIMU KUWAJULIA HALI WATOTO KAPUNGUZA.Ndo nitajua sijui safari hii,sijui nilianzajeanzaje kumsanua...nadhani kabla ya kumchana alikuwa ananiona mimi tu dunian sasa sijui huko anafanyaje eti?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kagoma kuachana kagoma kamanda,pia mali yake hainihusu mimi kabisa.Ile ni ndoa ya bibi na bwana na siyo bibi na mali ya bwana.Akija niacha niende hata kikombe sitochukua
dah nakumbuka hapo nyuma ulkuwa unasema anazingua, pole sana mkuuu sema kuwa makini saiz nyege sjui utazitolea wapi!!
 
Back
Top Bottom