Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ni shetani, ibilisi, Yezebeli shwaini kabisa😡😡😡
 
Kati ya watu watakaokufa wanalia mojawapo mimi. Sitaki kupingana na mwenyez Mungu maana naamini ndo njia niliyopangiwa kuipitia hadi siku nazikwa
Pole sana dada, huruma yanijia lakini nafsi inaniambia hivi umewahi kichanwa live tena mbele ya umma kuwa "Hivi wewe una huruma kwangu kuliko kwa mama yako mzazi, ukinihurumia mimi mama yako atahurumiwa na nani ?"

Baada ya kuwaza haya naishia tu kusema dada pole sana.


Asilimia 20 katika 100 ndio huwa na sura ya tabasam wakati wa kufa hizo 80 zilizobaki wapo kundi hilo ulilojitabiria, tumuombe Muumba atuepushe na hali ya huzuni na majonzi.

Lakini pia tambua hili kila linalokupata/lililo kupata basi halikuwa lenye kukukosa na kila lililo kukosa halikuwa lenye kukupata na hii si kwa ujanja wala uwezo wako.
 
Amina Amina sana mkuu.stay blessed sana
 
Wanaume wa hivi huwa mnawatoa wapi? Mtu anasema anataka apewe talaka ujasiri wa kukataa unautoa wapi? Nini hasa hao wanaume wanang'ang'ania?

Ndio maana mm nashukuru Mungu alivyoniumba sijawahi lazimisha mwanamke kwenye maisha yangu na haitakuja kutokea yaani mtu unatongoza wiki unatafuta nini mda wote huo?
 
Mbadala wa utelezi ni nini?
Wewe ucwe mjinga tongoza wanawake wengi kadiri uwezavyo wa viwango tofauti tofauti humo ndani utapata humble na wasio vichaa.

Binafsi kila siku natongoza yaani kwa hiyo kupungukiwa wanawake haijawahi tokea na huwi na pressure huyu akikataa sawa mwingine atakubali huyu akikuliza mwingine atakuokoa yaani ni simple tuu hivyo sasa wewe unakomaa na k moja una akili timamu kweli?
 
Wanawake wa Leo ni mafisi...kilichompata Dav wanaume wengi sana kinatupata....mali zinachukuliwa , unaachwa kuteseka hatimaye kifo
Mali zinachukuliwa zinaenda wapi? Mbona uwiano wa kugawana huwa unafeva mwanaume au uko fair.

Mara nyingi huwa nasema kama sio kirema sio tatizo mali natafuta zingine
 
Billgate katoswa uzeeni.Bas tu ni changamoto za hapa na pale
Binafsi I don't care kutoswa ujanani au uzeeni nachotaka niwe na pesa Ili huko uzeeni naajiri vijana watanilea nawalipa.

Sijawahi bembeleza mwanamke kiasi hicho naye anajua nilivyo na msimamo wangu Uko wazi ukipata pazuri off you go sinaga ndoa wala sina mpango wa huo ujinga,tunaishi ndoa za mke na mume ila sio za makaratasi never ever
 
Mamaee
 
Hili jambo hata wewe ukioa itakuwa hivyo hivyo unajua kwa nini?

Ukiwa na mke unamchoka hutombi kila siku wakati wao huwa hawana kukinai kwa hiyo hapo snaziba gap.

Pili kadiri mwanaume unavyokua kiumri na kimajukumu uwezo wa kutiana unapungua wakati mwanamke wala sasa hapo ni kuziba gap tuu.

Binafsi sina shida na hilo jambo ila tuu nisijue afu siku zote vya kuiba vitamu hata wanaume wanachepuka vya pembeni.
 
Mimi naombeni mnisaidie kujua hili swala

Hivi mimi nikioa saiv na huyo mwanamke akanikuta nimali zangu za kutosha ambazo nimezipat kabla yakuwa nae
Je tukiachana hizo mali tutazigawana wote japo nilitafut pekee yangu.
Hakuna kugawana hapo
 
Yes,we ndo kamanda sasa
 
Ha haa,wakati kuna uwezekano wa kupata sikumoja na ukamtafuna Sikh hiyohiyo na mkaachana siku hiyohiyo.Sema ndo ivo...upendo wa ukweli bado upo dunian japo lazima kuwe na sababu nyuma yake mtu hawez ng'ang'ana iviivi
 
Mtu wa mtaani anakupaje stress au anakuua kwa kukuwekea sumu? Kama ni hivyo hata ndani unaweza wekewa vizuri tuu.
Umuhimu wa kuchagua mke bora na familia hutauelewa mpaka ukiwa na vinyumba viwili vitatu,umezaa na malaya tofauti tofauti halafu una miaka sabini ukisumbuliwa na presha, sukari sijui stroke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…