Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Shida ni marehemu inaonekana alioa mwanamke masta wa twn...hivi mali zako zinauzwa kisa talaka,mimi hata kijiko asingepata toka kwangu.istoshe kesi hiyo hata ampe mbunye hakimu namshinda mchana kweupe
Alipenda sanaaa na huu ndio udhaifu mwanamke aliutumia.

#YNWA
 
Kwa sababu yake ndio tena watu wasioe? Vipi wengine ambao wanaishi kwenye ndoa raha mustarehe, sio wa kupigiwa mfano watu waoe?

Upande wetu ukiachana na mkeo basi cha mwanaume hubakia kuwa cha mwanaume, na cha mwanamke hubakia kuwa cha mwanamke, na kile mlichofanya sharing kitaendelea kuwa sharing, na mwanaume unatakiwa umpe kitoka nyumba huyo mwanamke na watoto unatakiwa uwahudumie wewe mwanaume. Sio tu mali ambazo ulichuma kabla ya kuoa bali hata zile ulizopata baada ya kuoa as long as ni jasho lako kwa asilimia 100 basi ni mali yako wewe mwanaume hata kama mtaachana, zinabaki kuwa zako tu na warithi wako ni watoto wako.
 
Ila binadamu wabishiii..
Hivi unajua binadamu wengi wanaishi ndoani kimwili ila kiroho hawapo kabisa.

Hivi unajua ni wengi wapo tu kwasababu ya watoto.

Hivi unajua wengi tu mtaani utawaona wako fresh smiling kumbe ndani vita?

#YNWA
 
Ndoa ni kipimo cha akili ya mwanaume.
 
Dunia bhana kuna watu wanakula vya dhulma...! Hivi mali katafuta mwenzio peke yake umekuja ww umezaa watoto wawili mmegombana eti mgawane mali...!
 
to yeye umevunua ndoa yako????
 
Hahahahah trust me maskini ndo wanasumbuliwa na mapenzi hicho ndo mimi nitaamini mpaka kufa,mwanaume wa ukweli tafuta hela na ujue jinsi ya kuzitumia yaani usikose pesa hata uzeeni.

Kwangu mimi naamini mapenzi sio ya kudumu,mapenzi huisha kuendana na muda ni perishable thing not eternal one ndo maana ukiachana na mtu akija mwingine unampenda tena.Let us enjoy the life at the fullest no limit anywhere,let us die still we are young
 
Yap...
Let's enjoy living.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…