Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Shida ni marehemu inaonekana alioa mwanamke masta wa twn...hivi mali zako zinauzwa kisa talaka,mimi hata kijiko asingepata toka kwangu.istoshe kesi hiyo hata ampe mbunye hakimu namshinda mchana kweupe
Alipenda sanaaa na huu ndio udhaifu mwanamke aliutumia.

#YNWA
 
Kwa sababu yake ndio tena watu wasioe? Vipi wengine ambao wanaishi kwenye ndoa raha mustarehe, sio wa kupigiwa mfano watu waoe?

Upande wetu ukiachana na mkeo basi cha mwanaume hubakia kuwa cha mwanaume, na cha mwanamke hubakia kuwa cha mwanamke, na kile mlichofanya sharing kitaendelea kuwa sharing, na mwanaume unatakiwa umpe kitoka nyumba huyo mwanamke na watoto unatakiwa uwahudumie wewe mwanaume. Sio tu mali ambazo ulichuma kabla ya kuoa bali hata zile ulizopata baada ya kuoa as long as ni jasho lako kwa asilimia 100 basi ni mali yako wewe mwanaume hata kama mtaachana, zinabaki kuwa zako tu na warithi wako ni watoto wako.
 
Ila binadamu wabishiii..
Hivi unajua binadamu wengi wanaishi ndoani kimwili ila kiroho hawapo kabisa.

Hivi unajua ni wengi wapo tu kwasababu ya watoto.

Hivi unajua wengi tu mtaani utawaona wako fresh smiling kumbe ndani vita?

#YNWA
 
Kwahiyo marehemu hakua na akili?
Dah kwahiyo mkipendwa sanaa mnatumia mwanya wa upendo vibaya.

Tokea nionane na Steve 2019 nilimwambia kabisa.

"Kosa kubwa la Dav ni kumuonyesha mkewe anampenda"

Dav alimpenda sanaa yule mwanamke na mpaka kumuoa.

Ange HIT and RUN, muda huu tungekuwa wote tunakunywa bia.

Nimeona wanaume wengii wanateseka eti kisa wamependa na wakafanya ujinga mmoja uitwao KUOA.

#YNWA
Ndoa ni kipimo cha akili ya mwanaume.
 
Dunia bhana kuna watu wanakula vya dhulma...! Hivi mali katafuta mwenzio peke yake umekuja ww umezaa watoto wawili mmegombana eti mgawane mali...!
 
Na wangu alitaka kujiua kwa bahati nzuri maziwa na majirani walikuwa karibu.Nilimchana live,usilete nuksi mjini,ufe kwa ajili yangu,mimi nisiyenduguyo,huwez fikiria tabu alizopata mother wako mpaka umefika hapa?

Huwez waza maumivu atakayopata mama ako ukifa? Embu itazame sura yangu vizuri je hujutii kutaka kujiua sababu yangu ambaye siingii hata mara moja kwa warembo utakaowaacha duniani na wenye kiu kweli ya ndoa?

NAONA ALINIELEWA MAANA NAONA HATA KUPIGAPIGA SIMU KUWAJULIA HALI WATOTO KAPUNGUZA.Ndo nitajua sijui safari hii,sijui nilianzajeanzaje kumsanua...nadhani kabla ya kumchana alikuwa ananiona mimi tu dunian sasa sijui huko anafanyaje eti?
to yeye umevunua ndoa yako????
 
Hahahahah trust me maskini ndo wanasumbuliwa na mapenzi hicho ndo mimi nitaamini mpaka kufa,mwanaume wa ukweli tafuta hela na ujue jinsi ya kuzitumia yaani usikose pesa hata uzeeni.

Kwangu mimi naamini mapenzi sio ya kudumu,mapenzi huisha kuendana na muda ni perishable thing not eternal one ndo maana ukiachana na mtu akija mwingine unampenda tena.Let us enjoy the life at the fullest no limit anywhere,let us die still we are young
 
Yap...
Let's enjoy living.

#YNWA
 
Back
Top Bottom