Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Ndoa yahitaji mwanaume UWE JAMBAZI kabisa, uamuzi wowote ndani uwe wako na siyo ndugu, mke wala majamaa
 
Mimi naombeni mnisaidie kujua hili swala

Hivi mimi nikioa saiv na huyo mwanamke akanikuta nimali zangu za kutosha ambazo nimezipat kabla yakuwa nae
Je tukiachana hizo mali tutazigawana wote japo nilitafut pekee yangu.
Pre-Marital contract...msainishe ili asiwe na chakuongea akienda mahakamani

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Kesi? Kuna koo flani wapo tauari wauze ng'ombe zote za ukoo mzima ndugu yao ashinde kesi..
Kuna Shida mahari.

Muwinda huwindwa

Wakati wewe unawinda mwanamke wa maisha yako atokee.- kuna mwanamke anakuwinda mwanaume aidha wa maisha ama wa kumvusha pale alipo kimaisha.

Kuna wanawake wanahitaji mbegu yako tu, yaan anakuja kwako kwa nia ya kuchukua mbegu tu. ( Anaweza kukushirikisha ama akafanya mission hii kimya na kwa usiri zaidi ya mossad ( hawa ni wengi na ikiwa mwema kwao watakuambia, ishanikuta kwa wanawake zaidi ya 7, wa nne walinichana na nashukuru kwa hilo, yaani yeye anataka mimba tu alafu basi, ila ni mtego huu. Na anaweza kuwa yupo ndani ya mahusiano na mtu ambaye anamtunza ama ndani ya ndoa na akaja kukuomba umtie mimba hata kwa malipo maalumu, naam anakununua umtie mimba na ni mke wa mtu.

Yupo yule anayekupenda kweli, wewe himpendi

Yupo yupo anayekutamani kimapenzi tu, lakini hastail kuwa mke na anajijua ila ukimletea habari za kumuoa hato kataa, ila sasa kwa kuwa ndoa kwake ni option C Huyu lazima atakusumbua na huyu mara nyingi ndio huwa anaondoa wanaume wengi duniani, ( Serial killer ) ukimkosea huyu, malipizi yake huwa mara tatu ya ulivyomfanyia.

Kuna wale waliotoa mimba zaid ya nne kabla ya kuwa na wewe, huyu sina hata muda wa kuelezea atakuzawadia nini siku ukimzingua, hawez kukuacha hiv hivi

Kuna wale wapenda tamaduni, wanawake wa mila na desturi, unakuwa nae kwa sababu kishakupumbaza na dawa za kutosha.

Kuna wale wanafki, mtu wa dini sanaa, kanisani sanaa, ushungi mkubwaa, ila hana huruma na wanawake wenzake ama watoto, yaan akiona mwanamke mwenzie anapitia magumu hashtuki apo ujue unaishi na Covid ndani.

Alaf wapo wanawake wanaofaa kuwa wanawake wa kuishi nao mpaka mwisho wa maisha yenu, hao sidhani kama wamefika hata million moja duniani kote na kama uko nae mwanamke wa hivi una bahati,

Niko na mmoja, uninizingua umemzingua yeye, ukinikosea basi umemkosea yeye na hakuna wa kumtuliza isipokuwa mimi, ana monitor matumizi yangu mpaka nakubali, japo kuna zile backup hazikosekani. Mwanamke anayekustua kuwa ukifanya jambo flani utakosea, hasubiri ukosee akukosoe bali anakuelekeza mashaka yake na mwenendo wako mapema iwezekanavyo, mwanamke ambaye huwezi ficha jambo maana akikuangalia tu anajua unajambo na hujaliweka wazi, anatafta namna ya kukufanya uliseme kwa kujiamini na akushauri kama inawezekana...

Pamoja na yoote binaadam hakuna mkamilifu, yeye anaweza kuwa muaminifu kwa kila kitu, mm nikawa mshenzi vile vile au kinyume chake..

HAPO KWENYE KUGAWANA MALI HAPO, HAPO KWENYE MALI ALIZOZIKUTA HAPO...WENGI WANATUTOA ROHO.

KISA WATOTO ALAFU UNAWEZA KUKUTA HUNA MTOTO HATA MMOJA KATIKA HAO WATOTO WAKO.. WAMEZALIWA NDANI YA NYUMBA YAKO, WAPO WANNE PENGINE WAKO NI MMOJA AMA HATA HUYO MMOJA SI WAKO LABDA WA NDUGU YAKO.
 
Duu! Kwahiyo ulimfiligisa mwenzio mpaka akaona bora ajitoe uhai? Ina maaana ile ndoa yako ya mbwembwe nyingi imeshavunjika mara hi?

Binafsi bado naamini watu wema wapo wengi tu tena sana kushinda hao wabaya cha muhimu ni kufanya tafiti za kutosha kabla ya kuamua.
 
Na hili limemtokea ndugu wa jamaa yangu,yeye huyo mwamba alikua anaishi na mke lakini mkorofi balaa na ni mgonjwa wa kifafa,yule mkewe alikua mvumilivu kweli kweli na ndio alikua msaada mkubwa kila alipokua ana anguka kwa kumgeuza ili asipate madhara.
Lakini stori za vijiweni mwamba akaanza kumfanyia vituko mkewe kwa kumtembezea kichapo cha nguvu bila ya sababu za msingi kwa mujibu wa majirani waliokua wanaishi nao. Basi mwisho mwamba akalazimisha akampa talaka ili apate kuingiza migoma,na kweli alifanikiwa hilo akawa anabadilisha tu.
Baada ya mda kama wa siku nne hivi mwamba akawa haonekani,kwenye mishe wanasema yupo home,ndugu wanasema yupo kazini na majirani nao wanasema mwamba anapambana hivyo kila mtu akawa na jibu lake mpaka pale harufu ya mzoga ilipoanza kusikika wakaja kuvunja mlango wakamkuta mwamba amelala kifudifudi ameng'ata godoro,kwa mujibu wa madaktari alikutwa na kifafa hivyo akashindwa kujigeuza na ndizo nyakati kama hizo mkewe alikua anamgeuza.
 
Kwani kitu gani kinaweza kuwa ushahidi pale mnapotalakiana kitakachoonesha kuwa Mali hizi na hizi mwanaume alizipata Kabla ya kuoana na Mali hizi zilipatikana mkiwa mmesha oana?
 
Hilo najua ila wanaojielewa ni wachache sana wengi wako aftermoney....nimeona wengi wamefariki wajane wanafuja mali kwa kulea wanaume...mimi naona kipimo kizuri cha ndoa ni mda mrefu mtakao ishi
 
Mimi nasemaga siku nafukuzwa kazi au biashara yangu kwenda mrama na kazni namefukuzwa aisee mwanamke wangu hataniona kamwe Bora unyanyaswe na mhindi kwenye kazi zake kuliko mwanamke unayelala naye kitanda kimoja hutakaa Kwa Amani maisha yako yote na itakuumiza siku zotee
 
Hao viumbe ukiwa dhaifu unaweza kuharibu maisha yako kabisa,kumpa ukilema,kuua ...mtu umemkuta n papa lake hana undgu nawe eti unaogopa kumuacha watoto watateseka,fukuza songa mbele
 
Mkuu kwa ke unayempenda kiukweli unaweza kumuacha baada ya kumfumania Mara ngapi ?.
 
Hayo ndy madhara ya kuishi peke yako bila mke.
Ahsante mkuu kwa ushuhuda.
 
Wajumbeeeeeee...

SIKIA hiiii......

Mwaka 2012 nilikutana na Dav (sio jina lake halisi) akiwa mkuu wa kitengo fulani ofisi kubwaa Morogoro.
Karibia initokee na mimi ila EMAUS ikaniokoa ilifikia stage father toka Ghana akaniambia sio kwamba watumishi ni waganga wa kienyeji wa kupiga ramri na kukutatulia matatizo yako Faith and time heal
 
Bado niko nae, namwogopajee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…