Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

iyo fikra sio universal wengine hawa mabint tunaona ndio watakao tusaidia kuboresha maisha Maana hawapo kama uliokutana nao mkuuu
Anaekusaidia kuboresha maisha yako ni WEWE MWENYEWE jombaaa.

#YNWA
 
Umeandika Mengi ila mada yako simply inaishia sehem moja tu. "Ukosefu wa pesa" ambao simply haukusababishwa na huyo mwanamke.

LAKIN MADA YAKO haija sema kwann mtu asioe.


and si kila mtu anae anaishia kwenye same result as huyo jamaa
Bro soma between the lines basi.

Dav aliishiwa "ukosefu wa pesa" na mke akachepuka.

Huoni cause and effect relationship hapo?

#YNWA
 
Mtoa mada anajulikana kuwa ni Ndoaphobic,stori ya kutunga tu hii!.
Mtu anafariki kwa ugonjwa wa Akili!..ndo nasikia leo!!.
Polee...
1. Soma, chunguza, tafuta = ONGEZA MAARIFA

2. Hakuna NDOAPHOBIC bro ila ni staili tu maisha.
Kwahiyo wasiokunywa pombe wote + wale wanazo zidiss ni wagonjwa wa POMBEPHOBIA?

Kwakuwa mtu hafanyi lile jambo ambalo mmeaminishwa ni sawa basi huyo ana PHOBIA?

#YNWA
 
Na wewe uliyajua hayo yote badala ya kumfanya ayasahau mateso aliyoyapitia tangu udogoni ukaamua kumtenda mpaka akafikia atua ya kujiua kabisa..

Nyie ata shetan alishawaachia ulingo.
Usiamini mwanamke.

#YNWA
 
Nimeamua kuendelea kuishi nae coz kihistoria aliachwaga na mama yake mzazi akiwa na two years old only akalelewa na ndugu ambao nao hawakumpa malez bora.Nadhani hiyo ilichangia yeye kuona bora kufa coz alihisi ana roho ya kukataliwa.Mungu aendelee kumpigania
Shida ni nini hasa kwenye ndoa yenu. I am curious. Hukumpenda wakati mnataka kuingia kwenye mahusiano na ndoa? Kama ulimpenda nini kimebadilisha upendo?
 
Mara nyingi mwanaume anapo pitia changamoto za kiuchumi, ndipo time ya rangi zote halisi za mwanamke zinajionyesha.
Ni kweli, kwa kiasi fulani ni kipimo cha character za watu. Kwa sasa ni wanawake wachache wanaweza kustahimili mikiki mikiki ya mume kushindwa kumudu mahitaji kwa sababa ya ukosefu wa pesa.
 
Wajumbe sikieni hii.

Mwaka 2012 nilikutana na Dav (sio jina lake halisi) akiwa mkuu wa kitengo fulani ofisi kubwaa Morogoro.
Kipindi hicho mimi nilienda ofisini kwao kufanya field, kwa sababu yeye alikua mkuu wa kitengo nilichopangiwa field then nilimkubali sanaa mwana.

Alikua mchapa kazi balaa hivyo kitengo kiling'ara kwasababu yake.
Maisha yake binafsi yalikua mazuri huku akimiliki nyumba na gari (simply kijana mwenye chenji zake).

Field ikaisha na mimi nikaondoka ila urafiki uliendeleaa halafu ukapotea ghafla.

Baada ya muda bila kuwasiliana siku moja (mwaka jana) ghafla nikamkuta njiani.

Alikua kachoka balaaa, halafu anatafuta kazi. Ikabidi nisimamishe tukituki yangu ya miguu 4 apande kwenda sehemu kuongea.
Alikua kama kachanganyikiwa. Nikampa lunch then nikampeleka gheto, alikaa gheto kama wiki hivi, then akasepa Dar.

Tukiwa nyumbani kwangu akanipa hadithi kwamba mwaka ule wa field yangu (2012) alioa. Mkewe alimkuta Dav ana nyumba, gari, mashamba na mali nyingi tuu.

Baada ya ndoa, miaka iliyofata maisha nyumbani yalianza kuwa magumu, kampuni ilikua ya wazungu. Mkataba uliisha, wazungu wakarudi kwao, Dav akakosa kipato cha kudumu. Mkewe akachepuka na kuhamia kwa jamaa mpya moja kwa moja.

Mkewe alipeleka kesi mahakamani kuomba talaka. Huko nako Dav alichosikia, mkewe alitembeza hongo mpaka talaka ikatolewa. Ilibidi gari na mashamba yauzwe iliwagawane na ndoa ivunjwe.

Nikashangaa sana, nikamuuliza ""Mbona hizi Mali ulizipata kabla ya ndoa?"" Alinijibu "hata sijui nini kilifanyika, na vile kuokoa watoto wangu (wawili) ilibidi nikubali liuzwe gari na mashamba ndio tugawane halafu nyumba abaki nayo akae na watoto""

Mwana alikua kama kachanganyikiwa. Tuliongee akasema anaenda Dar kutafuta ajira na anashukia kwa Steve (sio jina lake halisi). Kwa bahati nzuri Steve namjua sanaa (classmate). Then siku ilivyofika nikampeleka stend akapanda ndinga huyoo Dar.

Yote haya yalitokea February/2021. Leo yaani alifajiri hii napata taarifa kuwa ""Davi kafariki kwasababu ya ugonjwa wa akili"" Steve anasema, Dav alikuwa mwana Sana, tulicheza na kukua wote kitaa. Kwasababu tupo field moja ya kazi, tuliunda kama team ya kusaidiana kimawazo ya fani yetu kila jambo, liwe jipya au gumu tunashirikishana.

Ila tokea aoe na kuanza matatizo ya ndoa performance ilishuka. Kazi zikaisha na mali zake zikauzwa, alivyofika Dar alikua kama chizi, kutwa kuwataja wanae, mara aropoke majina ya mkewe kwa hasira na vitu kama hivyo.

Tarehe 01/08 hali ilikua mbaya hasa, akakimbizwa hospital. Na leo 07/08/2021 Dav kafariki kwasababu ya matatizo ya akili. Watoto wawili hawana baba tena. Kuna wazazi wamepoteza mpendwa wao mtoto wa kiume pekee.Kuna sisi tumepoteza role model wa kazi na rafiki. Tasinia yetu ya science imepoteza mtaalamu. Tanzania imepungukiwa GDP

Alidhani kuoa ni kuzuri kumbe kumemtafutia kifo mapema akiwa na miaka 39 tuu. Tafuta hela kijana kuoa ni upuuzi kwa dunia ya sasa.Hawataki penzi lako ila wanataka hizo mali zako tuu.They are gold diggers, they need kuchimba dhahabu yotee kutoka kwenye huo mgodi wako then wauache empty.

Leo nipo gheto kusikiliza nyimbo alizozipenda Dav tuu.

RIP Brother

"If you think money can't buy happiness, nenda kaulizewanufaika wa ajira mpya za walimu wiki hii walivyolipwa hela zao za kujikimu walijisikiaje.

View attachment 1883485

View attachment 1883489

Tafuta hela kijana.

#YNWA
Mambo ya ndoa,yasikie kwa wengine,
Wadogo zangu,mwanamke sio ndugu yako!!mchukulie kama gaidi tu,ila gaidi rafiki.usiwekeze vyote kwenye ndoa,roho,mali,mapenzi,penda kwa asilimia 40,60 Baki nayo mwenyewe.
 
Mambo ya ndoa,yasikie kwa wengine,
Wadogo zangu,mwanamke sio ndugu yako!!mchukulie kama gaidi tu,ila gaidi rafiki.usiwekeze vyote kwenye ndoa,roho,mali,mapenzi,penda kwa asilimia 40,60 Baki nayo mwenyewe.
Yote haya ya nini?
Huoni u single ndio jibu sahihi.

#YNWA
 
Back
Top Bottom