Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

iyo fikra sio universal wengine hawa mabint tunaona ndio watakao tusaidia kuboresha maisha Maana hawapo kama uliokutana nao mkuuu
Anaekusaidia kuboresha maisha yako ni WEWE MWENYEWE jombaaa.

#YNWA
 
Umeandika Mengi ila mada yako simply inaishia sehem moja tu. "Ukosefu wa pesa" ambao simply haukusababishwa na huyo mwanamke.

LAKIN MADA YAKO haija sema kwann mtu asioe.


and si kila mtu anae anaishia kwenye same result as huyo jamaa
Bro soma between the lines basi.

Dav aliishiwa "ukosefu wa pesa" na mke akachepuka.

Huoni cause and effect relationship hapo?

#YNWA
 
Mtoa mada anajulikana kuwa ni Ndoaphobic,stori ya kutunga tu hii!.
Mtu anafariki kwa ugonjwa wa Akili!..ndo nasikia leo!!.
Polee...
1. Soma, chunguza, tafuta = ONGEZA MAARIFA

2. Hakuna NDOAPHOBIC bro ila ni staili tu maisha.
Kwahiyo wasiokunywa pombe wote + wale wanazo zidiss ni wagonjwa wa POMBEPHOBIA?

Kwakuwa mtu hafanyi lile jambo ambalo mmeaminishwa ni sawa basi huyo ana PHOBIA?

#YNWA
 
Na wewe uliyajua hayo yote badala ya kumfanya ayasahau mateso aliyoyapitia tangu udogoni ukaamua kumtenda mpaka akafikia atua ya kujiua kabisa..

Nyie ata shetan alishawaachia ulingo.
Usiamini mwanamke.

#YNWA
 
Shida ni nini hasa kwenye ndoa yenu. I am curious. Hukumpenda wakati mnataka kuingia kwenye mahusiano na ndoa? Kama ulimpenda nini kimebadilisha upendo?
 
Mara nyingi mwanaume anapo pitia changamoto za kiuchumi, ndipo time ya rangi zote halisi za mwanamke zinajionyesha.
Ni kweli, kwa kiasi fulani ni kipimo cha character za watu. Kwa sasa ni wanawake wachache wanaweza kustahimili mikiki mikiki ya mume kushindwa kumudu mahitaji kwa sababa ya ukosefu wa pesa.
 
Mambo ya ndoa,yasikie kwa wengine,
Wadogo zangu,mwanamke sio ndugu yako!!mchukulie kama gaidi tu,ila gaidi rafiki.usiwekeze vyote kwenye ndoa,roho,mali,mapenzi,penda kwa asilimia 40,60 Baki nayo mwenyewe.
 
Mambo ya ndoa,yasikie kwa wengine,
Wadogo zangu,mwanamke sio ndugu yako!!mchukulie kama gaidi tu,ila gaidi rafiki.usiwekeze vyote kwenye ndoa,roho,mali,mapenzi,penda kwa asilimia 40,60 Baki nayo mwenyewe.
Yote haya ya nini?
Huoni u single ndio jibu sahihi.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…