Mkewe alipeleka kesi mahakamani kuomba talaka.
6. Huko nako Dav alichosikia, mkewe alitembeza mbunye na pesa mpaka talaka ikatolewa.
7. Ilibidi gari na mashamba yauzwe iliwagawane na ndoa ivunjwe..!!!
Nikashangaa....
""Mbona hizi Mali ulizipata kabla ya ndoa??""
Alinijibu "hata sijui nini kilifanyika, na vile kuokoa watoto wangu (wawili) ilibidi nikubali liuzwe gari na mashamba ndio tugawane halafu nyumba abaki nayo akae na watoto"
poleni ila najiuliza huyo mke wa marehemu aliwezaje kuhonga the so called mbunye mahakama zote?
Kuna kitu hakiko sawa hakuna mahakama ya ajabu igawe kijinga hizo mali wakati sheria iko wazi.
Unapofika wakati wa kupelekana mahakama inabidi kutuliza akili, kuomba ushauri kwa wataalamu wa sheria.
Mtu ana hizo mali zote anashindwa kumuweka hata wakili, hata kama wanaachana wagawe fair?
Kama mahakama husika haikutenda haki alishindwa nini kukata rufaa?
Kuachana na mke ajiwekee stress hadi afe? Hiyo ndo kuokoa watoto wake?Kwani yeye wa kwanza kuachwa? Wanawake wote hawa si angepata mwingine?
Ifike mahala watu mjitambue jambo kama hilo likitokea ongea na watu anza upya maisha sahau ya zamani magari na nyumba vinatafutwa.