Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Ukipatikana utaratibu mpya wa kuweza kupata watoto na kuwalea vyema bila kuishi kwenye committed marriage itakuwa poa sana..na life expectancy ya wanaume itaongezeka mara dufu.

For the meantime tukubali tu kuwa bila ndoa bora taifa hili sijui litakuwa na kizazi cha namna gani.
 
Mkewe alipeleka kesi mahakamani kuomba talaka.
6. Huko nako Dav alichosikia, mkewe alitembeza mbunye na pesa mpaka talaka ikatolewa.
7. Ilibidi gari na mashamba yauzwe iliwagawane na ndoa ivunjwe..!!!

Nikashangaa....

""Mbona hizi Mali ulizipata kabla ya ndoa??""

Alinijibu "hata sijui nini kilifanyika, na vile kuokoa watoto wangu (wawili) ilibidi nikubali liuzwe gari na mashamba ndio tugawane halafu nyumba abaki nayo akae na watoto"


poleni ila najiuliza huyo mke wa marehemu aliwezaje kuhonga the so called mbunye mahakama zote?

Kuna kitu hakiko sawa hakuna mahakama ya ajabu igawe kijinga hizo mali wakati sheria iko wazi.
Unapofika wakati wa kupelekana mahakama inabidi kutuliza akili, kuomba ushauri kwa wataalamu wa sheria.

Mtu ana hizo mali zote anashindwa kumuweka hata wakili, hata kama wanaachana wagawe fair?
Kama mahakama husika haikutenda haki alishindwa nini kukata rufaa?

Kuachana na mke ajiwekee stress hadi afe? Hiyo ndo kuokoa watoto wake?Kwani yeye wa kwanza kuachwa? Wanawake wote hawa si angepata mwingine?

Ifike mahala watu mjitambue jambo kama hilo likitokea ongea na watu anza upya maisha sahau ya zamani magari na nyumba vinatafutwa.
 
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili waliopendana na kuamua kuishi pamoja.....

Msingi mkuu wa ndoa ni upendo baina ya wanandoa kwa kuwa kwenye upendo kuna
1)Kuvumiliana
2)Kuheshimiana
3)Kuhurumiana
4)Kuthaminiana

Ndoa zimekuwa ngumu kwa nyakati hizi kwa kuwa mioyo ya wanadamu imetawaliwa na tamaa badala ya upendo.....

Tamaa zinawapelekea wana ndoa kuwa wabinafsi na kila mmoja kujiwazia mwenyewe.....

Nyakati hizi kuoa au kuolewa ni jambo la hatari sana linaloweza kukufanya uishi maisha ya majuto kuliko hata mtu aliyekuwa gerezani.......

Ndoa zimepelekea watu kupata -Magonjwa sugu
-Ulemavu wa kudumu,
-Vifungo vya muda mrefu au maisha na wengine vifo......pia wapo watu wanaopitia mateso makali na hawajui wafanye nini......

Ndoa sasa zimekuwa ndoano......
 
Back
Top Bottom