Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

iyo fikra sio universal wengine hawa mabint tunaona ndio watakao tusaidia kuboresha maisha Maana hawapo kama uliokutana nao mkuuu
 
Najua kiumia nitaumia ila naamini Mungu kaumba kusahau, so nisahau.
 
Mkuu kuoa ni lazima vinginevyo utakuwa mtu mzima hovyooo..


Kuwa na family hakukwepeki mkuu.
kua na family si lazima kuhusishe ndoa, kumbuka kuna aina nyingi za family
 
Mara nyingi mwanaume anapo pitia changamoto za kiuchumi, ndipo time ya rangi zote halisi za mwanamke zinajionyesha.
 

Dah inauma sana mwanetu kapotea kisa ndoa sema hata ivo huyo mwanamke hakuwa sahihi kwake hata watoto wanaweza hata wasiwe wa mshkaji vipi alipenda kusikiliza nyimbo zipi?
 
[emoji3][emoji3][emoji3]ulimfumbua macho na akili huko aliko anakushukuru sana usijali
 
Kweli kamanda wangu naunga mkono hoja
 
Umeandika Mengi ila mada yako simply inaishia sehem moja tu. "Ukosefu wa pesa" ambao simply haukusababishwa na huyo mwanamke.

LAKIN MADA YAKO haija sema kwann mtu asioe.


and si kila mtu anae anaishia kwenye same result as huyo jamaa
 

Mtoa mada anajulikana kuwa ni Ndoaphobic,stori ya kutunga tu hii!.
Mtu anafariki kwa ugonjwa wa Akili!..ndo nasikia leo!!.
 
Na wewe uliyajua hayo yote badala ya kumfanya ayasahau mateso aliyoyapitia tangu udogoni ukaamua kumtenda mpaka akafikia atua ya kujiua kabisa..

Nyie ata shetan alishawaachia ulingo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…