Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Na wangu alitaka kujiua kwa bahati nzuri maziwa na majirani walikuwa karibu.Nilimchana live,usilete nuksi mjini,ufe kwa ajili yangu,mimi nisiyenduguyo,huwez fikiria tabu alizopata mother wako mpaka umefika hapa?

Huwez waza maumivu atakayopata mama ako ukifa? Embu itazame sura yangu vizuri je hujutii kutaka kujiua sababu yangu ambaye siingii hata mara moja kwa warembo utakaowaacha duniani na wenye kiu kweli ya ndoa?

NAONA ALINIELEWA MAANA NAONA HATA KUPIGAPIGA SIMU KUWAJULIA HALI WATOTO KAPUNGUZA.Ndo nitajua sijui safari hii,sijui nilianzajeanzaje kumsanua...nadhani kabla ya kumchana alikuwa ananiona mimi tu dunian sasa sijui huko anafanyaje eti?
😡😡😡
 
Na wangu alitaka kujiua kwa bahati nzuri maziwa na majirani walikuwa karibu.Nilimchana live,usilete nuksi mjini,ufe kwa ajili yangu,mimi nisiyenduguyo,huwez fikiria tabu alizopata mother wako mpaka umefika hapa?

Huwez waza maumivu atakayopata mama ako ukifa? Embu itazame sura yangu vizuri je hujutii kutaka kujiua sababu yangu ambaye siingii hata mara moja kwa warembo utakaowaacha duniani na wenye kiu kweli ya ndoa?

NAONA ALINIELEWA MAANA NAONA HATA KUPIGAPIGA SIMU KUWAJULIA HALI WATOTO KAPUNGUZA.Ndo nitajua sijui safari hii,sijui nilianzajeanzaje kumsanua...nadhani kabla ya kumchana alikuwa ananiona mimi tu dunian sasa sijui huko anafanyaje eti?
Ndiposa tunawauliza vijana wanaume:

Mke mmoja amekuwa Mama Mzazi huyo? Kama mke haeleweki mpandishe cheo awe Bi Mkubwa. Mwanaume mwamba shurti awape vyeo wanaostahili.
 
Binafsi I don't care kutoswa ujanani au uzeeni nachotaka niwe na pesa Ili huko uzeeni naajiri vijana watanilea nawalipa.

Sijawahi bembeleza mwanamke kiasi hicho naye anajua nilivyo na msimamo wangu Uko wazi ukipata pazuri off you go sinaga ndoa wala sina mpango wa huo ujinga,tunaishi ndoa za mke na mume ila sio za makaratasi never ever
Hii ndio misimamo ya sisi mabaharia na kamwe huaga haibadilki kamwe

Tunachovya na kusepa then maisha yanaendelea
 
Ha haa,wakati kuna uwezekano wa kupata sikumoja na ukamtafuna Sikh hiyohiyo na mkaachana siku hiyohiyo.Sema ndo ivo...upendo wa ukweli bado upo dunian japo lazima kuwe na sababu nyuma yake mtu hawez ng'ang'ana iviivi
Wapumbavu tuu,mwanaume lazima utumie ubongo sio moyo
 
Kama unaowa wakati una mali zako nyumba,shamba, fixed assets, shares unachoweza kufanya tafuta mwanasheria andikisha mali zako zote, kuwe na agreement kama likitokea la kutokea zile mali mwanzo alizokukuta nazo , hawezi kugusa anayeweza kugusa ni watoto tu. Mutagawana kilichoongezeka baada ya ndoa.
Mabaharia ichukuen hii itatusaidia tuendako
 
Utawatambua vipi mkuu ikiwa hata manabii walishindwa kutambua tabia harisi ya mwanamke,

mwanamke unaweza kumuona kuwa na tabia ya ukichaa kumbe kilichopo ndani yake nizaidi ya wema na upendo uliojaa ndani, Na mwanamke huyo huyo unaweza kumuona katika tabia ya kobe au kondoo ila kilichopo ndani yake nizaidi ya ushetani kama sio lucifa.
Hapo ndipo vijana wengi tumebaki njia panda katika kuoa
Vijana wanapaswa kutambua Kuna wanawake wa kuwa "mke" wengine wapo kwa ajili ya starehe tu ni rahisi Sana kuwatambua ukitumia akili kuliko hisia.
 
Jamaa kama ananizungumzia mm,wanawake sio kabisa yaani kilichoniokoa mm ni kumtegeshea simu yake auto record na memory card 8gb nikagundua madudu yake,nikampiga straight red card,
 
Sio ndoa zote mbaya, na hitakaa kaa ndoa zote pia zikawa nzuri au kuwa na mwisho mzuri
 
Wajumbeeeeeee...

SIKIA hiiii......

Mwaka 2012 nilikutana na Dav (sio jina lake halisi) akiwa mkuu wa kitengo fulani ofisi kubwaa Morogoro.

Kipindi hicho mi nilienda ofisini kwao kufanya field.
Kwasababu yeye alikua mkuu wa kitengo nilichopangiwa field then nilimkubali sanaa mwana.

Alikua mchapa kazi balaaa na mtafuta hela hasaaa.

Kitengo kiling'ara kwasababu yake.

Maisha yake binafsi yalikua mazuri huku akimiliki nyumba na gari (simply kijana mwenye chenji zake).

Field ikaisha na Mimi nikasepa.

Ila urafiki uliendeleaa then ukapotea ghafla.

Baada ya muda bila kuwasiliana siku moja (mwaka jana) ghafla nikamkuta njiani.

Alikua kachoka balaaa, halafu ANATAFUTA KAZI..!!!

Dah ikabidi nisimamishe tukituki yangu ya miguu 4 apande kwenda sehemu kuongea.

Alikua kama kachanganyikiwa.

Nikampa lunch then nikampeleka gheto.

Alikaa gheto kama wiki hivi, then akasepa Dar.

Alichonihadithia....
1. Mwaka ule wa field yangu (2012) alioa.
2. Mkewe alimkuta Dav ana nyumba, gari, mashamba na Mali kibaoo.
3. Baada ya ndoa, miaka iliyofata maisha nyumbani yalianza kuwa magumu, kampuni ilikua ya wazungu. Then mkataba uliisha, wazungu wakarudi kwao, Dav akakosa permanent income.
4. Mkewe akachepuka na kuhamia kwa jamaa mpya mazima.
5. Mkewe alipeleka kesi mahakamani kuomba talaka.
6. Huko nako Dav alichosikia, mkewe alitembeza mbunye na pesa mpaka talaka ikatolewa.
7. Ilibidi gari na mashamba yauzwe iliwagawane na ndoa ivunjwe..!!!

Nikashangaa....

""Mbona hizi Mali ulizipata kabla ya ndoa??""

Alinijibu "hata sijui nini kilifanyika, na vile kuokoa watoto wangu (wawili) ilibidi nikubali liuzwe gari na mashamba ndio tugawane halafu nyumba abaki nayo akae na watoto"

Mwana alikua kama kachanganyikiwa.

Tuliongee akasema anaenda Dar kutafuta ajira na anashukia kwa Steve (sio jina lake halisi).

By accident Steve namjua sanaa (classmate).

Then siku ilivyofika nikampeleka stend akapanda ndinga huyoo Dar.

Yote haya yalitokea February/2021.

Leo yaani alifajiri hii napata taarifa kuwa "Davi kafariki kwasababu ya ugonjwa wa akili"

Steve anasema......
1. Dav alikuwa mwana Sana, tulicheza na kukua wotee kitaa
2. Kwasababu tupo field moja ya Kazi then tuliunda kama team ya kusaidiana kimawazo ya fani yenu.
3. Kila jambo, liwe jipya au gumu tunashirikishana.
4. Ila tokea aoe na kuanza matatizo ya ndoa performance ilishuka.
5. Kazi zikaisha
6. Mali zake zikauzwa
7. Alivyofika Dar alikua kama chizi, kutwa kuwataja wanae, mara aropoke majina ya mkewe kwa hasira na vitu kama hivyo.
8. Tarehe 01/08 hali ilikua mbaya hasa, akakimbizwa hospital.
9. Na leo 07/08/2021 Dav KAFARIKI kwasababu ya matatizo ya akili.

Dah....
1. Watoto wawili hawana baba Tena.
2. Kuna wazazi wamepoteza mpendwa wao mtoto wa kiume PEKEE.
3. Kuna sisi tumepoteza role model wa Kazi na rafiki.
4. Tasinia yetu ya science imepoteza MTALAAMU.
5. Tanzania imepungukiwa na GDP

Yoteee haya eti kisa mbunye..!!!
1. We unadhani angeamua kuwa single kama Mimi ANGEKUFA na NDOA?
2. We unadhani angeamua kum-HIT AND RUN huyo mkewe YANGETOKEA HAYA?
3. We unadhani ...........

Alidhani kuoa ni kuzuri KUMBE KUMEMTAFUTIA KIFO MAPEMA AKIWA NA MIAKA 39 tuuu.

Tafuta hela kijana kuoa ni upuuzi kwa dunia ya sasa.

Hawataki penzi lako ila WANATAKA HIZO MALI ZAKO.

They are GOLD DIGGERS, they need kuchimba dhahabu yotee kutoka kwenye huo mgodi wako then wauache empty.

Leo nipo gheto kusikiliza nyimbo alizozipenda Dav tuu...

RIP BROTHER.

""If you think money can't buy happiness, nenda kaulize ajira mpya walimu wiki hii walivyolipwa HELA ZAO KUJIKIMU na Halmashauri zao WALIJISIKIAJE""

View attachment 1883485

View attachment 1883489

Tafuta HELA kijana.

#YNWA
Shida ni marehemu inaonekana alioa mwanamke masta wa twn...hivi mali zako zinauzwa kisa talaka,mimi hata kijiko asingepata toka kwangu.istoshe kesi hiyo hata ampe mbunye hakimu namshinda mchana kweupe
 
Mkewe alipeleka kesi mahakamani kuomba talaka.
6. Huko nako Dav alichosikia, mkewe alitembeza mbunye na pesa mpaka talaka ikatolewa.
7. Ilibidi gari na mashamba yauzwe iliwagawane na ndoa ivunjwe..!!!

Nikashangaa....

""Mbona hizi Mali ulizipata kabla ya ndoa??""

Alinijibu "hata sijui nini kilifanyika, na vile kuokoa watoto wangu (wawili) ilibidi nikubali liuzwe gari na mashamba ndio tugawane halafu nyumba abaki nayo akae na watoto"


poleni ila najiuliza huyo mke wa marehemu aliwezaje kuhonga the so called mbunye mahakama zote?

Kuna kitu hakiko sawa hakuna mahakama ya ajabu igawe kijinga hizo mali wakati sheria iko wazi.
Unapofika wakati wa kupelekana mahakama inabidi kutuliza akili, kuomba ushauri kwa wataalamu wa sheria.

Mtu ana hizo mali zote anashindwa kumuweka hata wakili, hata kama wanaachana wagawe fair?
Kama mahakama husika haikutenda haki alishindwa nini kukata rufaa?

Kuachana na mke ajiwekee stress hadi afe? Hiyo ndo kuokoa watoto wake?Kwani yeye wa kwanza kuachwa? Wanawake wote hawa si angepata mwingine?

Ifike mahala watu mjitambue jambo kama hilo likitokea ongea na watu anza upya maisha sahau ya zamani magari na nyumba vinatafutwa.
Hata angemuhonga mbunye jaji mkuu hiyo kesi hashindi,umenikuta na mali zangu utaondoka na kuziacha....mimi mke amenikuta niko njema,nlivyomuoa amekuta nakaa kwangu,nliongeza nyumba za kupangisha tu nkiwa nae,ila kiwanja nlinunua b4 kumuoa yeye na huwa majina naandika ya wazazi wangu sitaki utani na mali zangu
 
Mimi naombeni mnisaidie kujua hili swala

Hivi mimi nikioa saiv na huyo mwanamke akanikuta nimali zangu za kutosha ambazo nimezipat kabla yakuwa nae
Je tukiachana hizo mali tutazigawana wote japo nilitafut pekee yangu.
Hakuna story hiyo hizo mali hata ampe mbunye jaji mkuu hazimuhusu,istoshe hiyo kesi anashindwa mchana saa 7
 
Wanaume wenzangu tujitaidi kuwasumbua wanawake kwenye ndoa sio wanawake watusumbue sisi,
KAMWE mwanamke asipate mafasi ya kujiona mwamba kwako
HAKIKISHA unampa stress kila siku, asikie una mke mwingine, usifute mesej za michepuko, wala usipate hofu ya kumuacha.

Hivo tu ndo namna ya kumtia adabu mwanamke wa kiafrika NUKTA
Yani hapo lazima akutie petrol [emoji16][emoji16]
 
Ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu jamani.
Kwahiyo marehemu hakua na akili?
Dah kwahiyo mkipendwa sanaa mnatumia mwanya wa upendo vibaya.

Tokea nionane na Steve 2019 nilimwambia kabisa.

"Kosa kubwa la Dav ni kumuonyesha mkewe anampenda"

Dav alimpenda sanaa yule mwanamke na mpaka kumuoa.

Ange HIT and RUN, muda huu tungekuwa wote tunakunywa bia.

Nimeona wanaume wengii wanateseka eti kisa wamependa na wakafanya ujinga mmoja uitwao KUOA.

#YNWA
 
Hata angemuhonga mbunye jaji mkuu hiyo kesi hashindi,umenikuta na mali zangu utaondoka na kuziacha....mimi mke amenikuta niko njema,nlivyomuoa amekuta nakaa kwangu,nliongeza nyumba za kupangisha tu nkiwa nae,ila kiwanja nlinunua b4 kumuoa yeye na huwa majina naandika ya wazazi wangu sitaki utani na mali zangu
Ukifa je, wazazi wako hawata mdhurumu mkeo?

#YNWA
 
Back
Top Bottom