kenge 10
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,450
- 2,383
Kuna Lecturer wangu pale TIA Mungu amrehemu, alitupa story za masomoni huko nchini Israel. Akatuambia jamaa wanaamini unapokutana na muAfrika ni heri asiesoma utamwambia kitu atakuelewa ila aliesoma ndiyo kabisaaa haelewi mbumbumbu. Na kiuhalisia ni ukweli maana huko pwani tusiposoma hatuui albino tupate hela sasa nenda kwenye mikoa ya wasomi uone mziki.