Ben-adam
JF-Expert Member
- Jun 2, 2023
- 1,043
- 2,309
- Thread starter
- #141
🤣🤣🤣Nayafahamu mahusiano yao kabla hawajafunga ndoa. Japo mkewe alikua mkoani all the time. Nami nishaishi nao sana tu (interaction).
Kuna siku shem alizingua nikiwa kwao ambapo jamaa tulipanga tukutane kwake.
Ukweli ni kwamba nilimind na mood ikakata. Nkatoka nje, nikamwita mwamba nikamwambia kaa kushoto tukaongee bar. Akanizuia nisiwashe chombo ikabidi tukae kibarazani tuongee hapo sikurudi ndani.
Unajua kisa nn? Anammaind Jamal kipindi kile cha korona kuleta mgeni. Yaani sijui aliona mi nna korona tayari.
Dah hiiiiiiii🤭