Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi wao ndo wanatukwepa😀😀Rafiki na muhuni haufai... Jamaa yangu alioa. Tukiwa tunakula vitu bar. Ikifika tu saa nne anaanza heka heka. Oooh tuondoke. Kiukweli nikaanza kumuona kero..
Ikafika kipindi nikaanza kumkwepa.
Mwanamke ukimwoa anakuja na principle zake, kuna jamaazangu yani simu usipige kuanzia saa moja wakiwa home lazima ipite kwa wife alafu wife akiipitisha ndio jamaa anapokea hata kama mna deal la pesa , kuna jamaa mwaka jana ivo ivo nlikuwa na ishue nae ya hela nimepiga simu haipokelewi , kumbe simu anayo mwanamke me niajipanga nkatafuta mshikaji mwingine tukaenda kwenye ishue nikavuta m2 , kesho linakuja kuzinduka lina buku 5 mfukoni yule mwanamke anataka hela akaanza kupiga simu kama kichaaa, sijawah kuipokea hiyo simu, WANAWAKE WANABUGISHA MUDA MWINGINE AISEE ACHA KABISAAJamal ni mwanangu sana,
Tulikua tunapanga mipango mingi. Tangu ameowa amekuwa mtu mkimya sana.
One thing I noticed, mkewe huwa hanikubali mimi as a friend to her husband. Namuona fala, kwa sababu mimi nafunika mashimo mengi ya Jamal. Jamal hakuwa eligible kukopa sehemú fulani. Nikasaini makaratasi kwa jina langu nikakopa milion 4 akachukua yeye. Mi shida yangu ilikua laki 5 tu. Mi napigiwa simu na ofisi unadaiwa huleti marejesho........
Lakini Jamal huwa ananikubali mno hasa kwenye deals za pesa.
Jamal baada ya kubadili kampuni ya kazi, amepata marafiki wapya. Mara nyingi nikipanga kukutana naye namkuta nao. Wana mipango yao. Ila akikwama huko hunitafuta. Jamal ni kweli familia inamshughulisha mno. Kuna saa namuonea huruma. Unaweza sema yuko kimya ana enjoy, kumbe ana bills kibao zinataka kulipwa.
Jamal alijenga nyumba ikaishia kati. Nyumba ya kisasa kweli, lakini kwa mpunga aliovuta angeweza kujenga simple house kwanza. Ya milion 30 hivi au 40 ingetosha. Dah sasa bado ana panga na nyumba ile sijui inaisha lini?
Jamal sio jina lake halisi na baadhi ya vitu nimetwist kuficha uhalisia.
Asante.
Hii inafanana na wazazi wanapo chagua marafiki kwa watoto wao.Jamal ni mwanangu sana,

TUKO HAPA SIO!😀😀Oya kumkuta bikra isiwe kigezo cha kumuona malaika.
Kuna mtani wangu alioa bikra, yaani wiki nzima jamaa akitomba mtaa mzima tunasikia makelele, baada ya miaka kadhaa Oya wahuni wapimchakaza mke wa jamaa hadi ndoa kufa.
Usioneshe ulimbukeni mkuu, bora ukae kimya.
TUKO HAPA
Kwani ukiwa ktk zama/ "dhama" ya ujana huwezi kuwa na familia ? Wazee hawana familia?Hujui kama maisha ya binadam yana dhama 4.
Dhama ya utoto
Dhama ya ujana
Dhama ya familia
Dhamaya uzee
Sasa wewe unataka kila dhama uwe na watu haohao haiwezekani..
Mwanamke hata aje na principle zake hatakiwi kukutoa kwenye msitari, lazima uwe mwanaume.. wanafeliMwanamke ukimwoa anakuja na principle zake, kuna jamaazangu yani simu usipige kuanzia saa moja wakiwa home lazima ipite kwa wife alafu wife akiipitisha ndio jamaa anapokea hata kama mna deal la pesa , kuna jamaa mwaka jana ivo ivo nlikuwa na ishue nae ya hela nimepiga simu haipokelewi , kumbe simu anayo mwanamke me niajipanga nkatafuta mshikaji mwingine tukaenda kwenye ishue nikavuta m2 , kesho linakuja kuzinduka lina buku 5 mfukoni yule mwanamke anataka hela akaanza kupiga simu kama kichaaa, sijawah kuipokea hiyo simu, WANAWAKE WANABUGISHA MUDA MWINGINE AISEE ACHA KABISAA
Ahahh kumbe! Basi nimeujua ukweliHii inafanana na wazazi wanapo chagua marafiki kwa watoto wao.
Lakini mtoto mwenyewe anajua mtu fulani ni msaada gani kwake ,hakuna urafiki usiokuwa na faida mtu anaweza kuwa muhuni ila unamuhitaji kama rafiki kwa kiasi fulani ana msaada wake.
Wanawake wengi haijalishi wapoje ila hawapendi wanaume zao wawe na marafiki wanaopenda kukaa maskani na kazi hawataki ,huu ndio ukweli wanawake wanapenda kuona mume anazunguka na kama ana marafiki wawe na faida kwake za kiuchumi kama kazini au kufanya biashara.
Vikundi vingine ni wale marafiki wa escort kwenda kweny starehe na kunywa pombe.
Najaribu kuimagine jinsi anavyopigwa marufuku 🤣Wamekatazwa na wake zao hivyo usife moyo maana wanawake ni wabinafsi sana.
Ila sisi wanaume tukisha kua na wanawake hatupotezeani maana tunajua kabisa lolote linaweza kutokea gafla, ila wavulana wakisha oa wanatupotezea kabisa nasiku ya kimkuta anaanza kuchanga karata ni namna gani ya kujirudisha kwa aibu ila hatunaga mbaya tunawapokea kijiweni kiroho safi maana tunajua wake zao ndiyo wamewakataza
Ukiona hivyo ameona hamna maajabu aliyokutana nayo huko.Mie naona hata kwa ma-Ex tunaowasiliana baada ya kuachana.
Wiki moja au hata mbili kabla ya harusi yake atakupigia mwenyewe mkaongea ila akiolewa tu ni kimya hata miezi sita.
Wakichokana huko ndani ndo anakutafuta tena.
Mkuu unapoengea nalo kihusu hii ishue anakuwa anasikiliza kwa makini lakin vitendo sasa ndio hamna kitu, kuna siku hivyo hivyo tumepiga ishue ambayo yeye ndio alikuwa front, tukapata M3 , bila aibu likanipa la mbili, laki nane kaenda kumtunza yule mwanamke wake kwenye birthday yan huku mimi naona, mtu kama huyu mbona ugonjwa wake hawez pona mkuu, mwanamke mimi hanibadilish msimamo wangu hata iweje…Mwanamke hata aje na principle zake hatakiwi kukutoa kwenye msitari, lazima uwe mwanaume.. wanafeli
Aamin aamin
Kwa wanawake thats a big yes to me. Wanawake wengi maadui ni wanawake wenzenu tena wanaopenda kujifanya mashosti zenu wa kupika na kupakua. Hutaamini siku huyo rafiki yako asiyeolewa akianza kutembea na mume wako yani lazma roho ikutoke. Ila yapo yanatokeaSiyo wanaume tu, hata wanawake wakishaolewa wanakataa urafiki na rafiki yake kindaki ndaki, hata simu hapigi kisa kaolewa doooh!! Wanakosea sana [emoji13]