🤣🤣🤣Nayafahamu mahusiano yao kabla hawajafunga ndoa. Japo mkewe alikua mkoani all the time. Nami nishaishi nao sana tu (interaction).
Kuna siku shem alizingua nikiwa kwao ambapo jamaa tulipanga tukutane kwake.
Ukweli ni kwamba nilimind na mood ikakata. Nkatoka nje, nikamwita mwamba nikamwambia kaa kushoto tukaongee bar. Akanizuia nisiwashe chombo ikabidi tukae kibarazani tuongee hapo sikurudi ndani.
Unajua kisa nn? Anammaind Jamal kipindi kile cha korona kuleta mgeni. Yaani sijui aliona mi nna korona tayari.
Shida ni kukimbia kijiweni ndo imekuwa nongwa ama kuwa karibu na mkewe ?Alichosema ni kweli havina muda
ahahah huo ni upofu
Huu sasa utumwa. Jamal wangu naweza kukaa naye mahali mpaka saa 4 usiku. Mkewe akipiga anavunga kisha anasema huyu sitaki anizoee ratiba zangu za kurudi. Uzuri mke anampenda sana mume. Jeuri hana sema huwa anapima maji.Kabisa we mtu unampigia simu mke wake anampelekea hiyo simu alafu anamuamrisha aweke loud speaker asikie unaongea nae nini , kweli ndio mapenz hayo au na wewe mwanaume unakaribia kuwa shoga ?
Of course unaweza usijue madhoruba wanayokutana nayo Wana ndoa sasa atapoelekeza ukaribu zaid kwako kwanza mwanamke mwenyew atapojua huenda tatizo likaanza ktk hili Nina evidence hivi huna haha ya kulaumu zaidi Mwache afocus na mmbo yanayo muhusu ktk familia yake mpyaKuoa sio kigezo, kwani yeye anashughulika na ndoa all the time?
mimi kutokuwa kwenye ndoa inamaanisha sijui kitu kuhusu ndoa?
Si kweli
Ndio ilivyo ukisimuliwa huwez kuelewa ila ndio hivyo kuna watu mandezi mpaka basiHuu sasa utumwa. Jamal wangu naweza kukaa naye mahali mpaka saa 4 usiku. Mkewe akipiga anavunga kisha anasema huyu sitaki anizoee ratiba zangu za kurudi. Uzuri mke anampenda sana mume. Jeuri hana sema huwa anapima maji.
Jibu swali. Acha kupoteza watu. Au badae picha yako ije ichukuliwe shelia mkononi.Ubize na majukumu ya familia tu mkuu!