Rage: Fei Toto akienda CAS ni kupoteza muda wake tu

Kipindi kesi ya Morrison lilikuwa sio shirikisho la kihuni leo hii limekuwa shirikisho la kihuni! Rage ajengewe sanamu
Usilete habari ya Morisson hapa ambayo nayo mlipigwa, tueleze, hayo mambo ya serikali anayosema Rage kwenye mkataba wa Fei yalifuata nini?
 
Moja ya watu wasiojua kupepesa macho ni huyu Ismail Aden Rage. Kama wewe ni mbumbumbu, anakuambia waziwazi!

Bila shaka wale wapuuzi wanaompambisha huyo dogo, wana cha kujifunza kupitia huo ushauri wake.
Huna uwezo wa kuchambua alichosema Rage kama kina mantiki au hapana, kwako muhimu Rage ameongea basi roho yako kwatuu huu sio umbumbumbu, ni.zaidi.
 
Bado naendelea kuamini Rage yupo sahihi kuhusu makolo
Nyie viumbe wote nimewauliza.maswali, kama mnaubavu kila mmoja wenu ajibu swali lake nililompa, kumbe utopolo mmeshikiwa akili na Rage, kama akikosea, nanyi wote anawatumbukiza shimoni.
 
Usimshauri Fei ujinga, unalazimisha Fei arudi Yanga kijanja, mmefanikiwa kuwarubuni wale matapeli wa TFF wanatosha, huo ndio mwisho wenu, sheria ipo wazi na haihitaji kutafuta ushauri wa wazee, hayo sio mambo ya kimila.

Unamtaka akatafute ushauri wa wazee, kwani hao wazee walikuwepo siku Fei na Yanga wakisaini mkataba? waliuona? na serikali inaingiaje kwenye mkataba kati ya Fei na Yanga?

Nyie utopolo ni wajinga sana.
 
Mpka hili sakata liishe utakua umepungua uzito
Hamna kitu napenda kama kuwabana utopolo kwenye kona, najua mmenuna na siwaachii.

Wenzenu baadhi wameshakimbia kwenye hii issue baada ya kuona kweli mnabebwa na TFF, nyie ndio mnajidai hamuoni aibu!

Hakuna hata mmoja kati yenu anayejibu hoja zangu, wote mmejaa makelele tu ya ushabiki.
 
Jibu hoja wacha mipasho, wapi mambo ya serikali aliyosema huyo Rage wenu yanatakiwa kupelekwa kusikilizwa?
1: Million 112 amezipata wapi? Nani kampa?
Alipewa taslimu au kupitia akaunti? Kama taslimu ni kosa lingine la kukwepa ulipaji kodi.
Kodi ya miamala.
2: Nani yupo nyuma yake ( 3rd party). Mawasiliano ya simu. Au imekuwa faragha?
Hapo kesi ya jinai itaanzia hapo.
 
Hoja zipi kama una hoja za maana kampe feisal ili ashinde kumbuka ameshagonga mwamba TFF alafu acha gubu mtoto WA kiume unaminyana na mambo amabayo ni wazi hayawezekani
 
Una hoja gani zaidi ya blah blah? Sasa huyo unae mtetea hatokaa acheze mpka 2024
 
Kwanza dogo anatakiwa kushukuru mpaka muda huu hajafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi, na utakatishaji wa fedha.

Maana kuna uwezekano mkubwa wa kukosa maelezo sahihi ya wapi alikozitoa hizo milioni 112 alizoweka kwenye akaunti ya timu yake. Ila kuna baadhi ya mbumbumbu, bado wanaendelea tu kumvimbisha kichwa na kumpotosha dogo, huku wakiwa hawana msaada wowote ule wa maana kwake.

Bila shaka walifikiri lile sakata la Bernard Morrison lingejirudia tena ili wapate cha kuongea. Ika kwa bahati mbaya safari hii aibu iko upande wao.
 
Kwani Fei kakosea wapi na kifungu kipi??!
 
naona mnataka fei aishie kuuza mishikaki kama kipanya malapa
 
Kuna watu wanafaidika kwenye hili sakata la Fei, kwa namna moja ama nyingine. Si bure...
Anachotakiwa ni kukaa chini na Yanga. Ajirudi na aombe kama wamuuze ama watakavyoamua.

Zaidi Fei ugali hauliwi kwa sukari, huliwa kwa chumvi. Utafanya sukari ipande bei bure...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…