Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Hata hili la ugali sukari kadanganywa, huyu mpemba huyu ni shida.Kuna watu wanafaidika kwenye hili sakata la Fei, kwa namna moja ama nyingine. Si bure...
Anachotakiwa ni kukaa chini na Yanga. Ajirudi na aombe kama wamuuze ama watakavyoamua.
Zaidi Fei ugali hauliwi kwa sukari, huliwa kwa chumvi. Utafanya sukari ipande bei bure...