Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #121
Pole na hekaheka za demu wako wa zamani.Mkuu unaona utani, dudu la yuyu lipo ila sometimes mademu mnaboa , mashine unataka na hela juu upewe.
Nlikuwa na demu wa hivyo kugongana anaanzisha mwenyewe akiwa na migenye yake ila kuomba hela sasa.
Nikatemana nae, yaan nyege zake nimtoe kwa gharama zangu za lodge na hela nimpe?
Nikatemana nae wakulungwa wengine waliunge , kashakula mkonoto kama mara kumi ya nini tena kuleteana miyeyusho.
Ila mimi siyo demu ni mtu mzima na sijawahi kumuomba mwanaume hela.