Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Hahaaaa hapo kwenye vumbi aiseee hii kitu maridadi sanaNasikia walaji wakidai anavyo virutubisho adimu ambavyo ukila huwezikuulizia vumbi la mkongo.
Anasura mbaya lakini vitamu vingi sura yake huwa haivumiliki
Hadi uwe mtu wa pwani...wengine hadi wasimuliwe.Hahahaa. Sidhani kama watakuelewa hasa wale unaowakuta wamemzunguka huyo muuza pweza huku wana vijiti wakila na kumwambia muuzaji ahesabu vipande wanavyokula.
Ila nasikia ana faida mwilini huenda ndio chanzo cha kupendwa mbali na muonekano mbaya alio nao.
Hii inawahusu sana Wanaume wa Pwani hasa wale wa Daslam!
Kweli unaweza ukatoka nyumbani kwako ukaenda kununua Pweza na kumla kweli?
Tena kuna wengine wanapeleka zawadi mpaka nyumbani kwao watoto nao wale!
Pweza ana sura mbaya ya hovyo kabisa lakini kuna binadamu wanamla na wanashushia na beer kabisa na tuchumvi kidogo!
Watu wakapime mkojo aisee!
Mkuu unapenda kula aina gani ya samaki sasa?Kama kitu hujazoe au upatikanaji wake kwenye jamii ilio kuzunguka huwezi ona raha yake. Mimi Sato, Sangara huwa sioni utamu kabisa nakula inapoteka tu.